TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

We lost an important person katika nchi hii inaumiza sana, mtu mwenye impact katika historia ya nchi! Rest easy Eng. Patrick Mfugale
 
Alikuibia pesa gani wewe masikini namna hiyo?

Ndio maana rais kawambia acheni porojo za katiba fanyeni kazi!

Vijana mtakufa koo zenu zikiwa zinaliwa na umasikini huku mkitumika kuwapandisha madaraja kina Mbowe!

Mfugale kaacha alama kwenye ukoo wake, wewe ukifa hapo ulipo utaacha nini zaidi ya ukurutu tu?

Alafu eti ametuibia! Amekuibia wew na nani?
Huyo mtt ni cuma mmoja, watu wa aina hio wanatia kinyaa jukwaani
 
Kwani masikini anajificha?

Ukiona mtu anashangilia mtu tajiri kufariki au kupata tatizo ujue mtu huyo tangu ukoo wake ni masikini sana anaeamini umasikini wake umesababishwa na tajiri!

Sasa anapokuja hapa eti afe tu katuibia sana, ukimwambia weka ushahidi hana. Huyu ni masikini
Choko kabisa, hii tabia ya kishoga ya kushabikia vifo vya watu inaashiria upungufu mkubwa wa akili baina ya baadhi ya watanzania wenzetu wenye chuki za kishamba!
 
Watu wanavyo comment humu utazani wao hawatakufa kabisa, jamani jamani Kila nafsi iliyoumbwa na Mwenyezi Mungu itaonja mauti, hebu tuwe na akiba ya maneno, maana katika msiba huu, teyari Kuna mtu amekuwa mjane, wapo watoto teyari mayatima wako wajukuu wamekosa babu n.k
Inatia kinyaa sana hii mijitu ya hivyo
 
Na unakuta ni watu wazima kabisa tena wenye kutegemewa kutoa busara katika familia na koo zao.Lakini wakiwa hapa akili zao wanaziweka pembeni wanakuwa vituko kisa tu wanatumia fake ID.
Wanajivika ukichaa shenzi taipu kabisa
 
[emoji21][emoji21][emoji21]Maisha sijui yanachanganya watu au roho mbaya!unakuta mtu anademkwa hata unashindwa kuelewa,kwamba daraja likiitwa mfungale sijui linamkwaza nini!




Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Hisia za kimaskini na kiroho cha kinyongolilo tu! Mtu akipewa jina la structure flani ni kwa heshima na hii ipo toka enzi! Watu wenye impact kwenye taifa walipewa majina ya mitaa,majengo na hata sanamu zao kuchongwa! Its a norm kwa Tanzania ila chuki za kishamba na roho za kwanini ndio zimetufikisha hapa kwa wapuuzi kushabikia hata vifo vya wenzao kama vile hawatakufa
 
Mimi napita kwenye daraja kwa raha zangu, ni kodi yangu imejenga sio pesa ya mamaezenu Mijizi na Milafi = MaCCM
Pesa zipi hizo mjomba, katika thamani ya daraja hela yako ya pipi kifua tu hainunui hata bulb moja ya chini mle acha kujitia wendawazimu! Atleast kodi za Bhakresa na Late Zakaria zinaweza kuwa zimefanikisha % kubwa ya daraja!
 
Watu wanaandika kashfa kwa sababu tu alipendwa na Magufuli. Kusema ukweli mimi nilikuwa simjui na wala utendaji wake siujui lakini kwa kutumia hisia nadhani alikuwa mchapakazi na asiyependa kujikweza. Kwanini: Sijawahi kumsikia kwenye skendo au kujiona anajiweka mbele mbele kwenye media au mitandao au kuonyesha kwa namna yoyote kuwa ni msomi. Uzoefu unanifundisha kuwa watu wa aina hii huwa wachapakazi na wazalendo. Sijui huenda nimekosea lakini hisia zangu zinanituma hivyo.
Uko sahihi Magufuli alikuwa na mapungufu yake but alijua watu Legit na akawaweka karibu ili wafanye wote kazi! Amongst the Legit guys ni Prof. Mpango, late Mfugale, late Kijazi these are the least i know. Hawakupewa airtime tawala za nyuma ila they did great sababu hawakuwa wafuasi wa ubadhirifu! Ni kama vile aliwainua katika awamu yake ila wapuuzi wachache walioumia kimaisha wanataka kupandikiza chuki zao za kipumbavu kwa Magufuli na watu aliofanya nao kazi ilimradi tu wafurahishe micundu yao!
 
Mkuu nikumbushe kashfa zake huyu marehemu.
Si vyema kumjazia tuhuma kwakuwa tu alifanyakazi kwa karibu na marehemu rais wa awamu ya tano.
Kwenye serikali ya Magufuli pia kulikuwa na watendaji wazuri wenye weledi, na mmoja wao ni Mfugale.
Hata mama Samia ambaye leo anasifiwa sana hapa jf, alifanya kazi na mwendazake.
Mfugale hakuwahi kupata tuhuma za ufisadi, hakuwa na mbwembwe wala majivuno.
Apumzike kwa Amani
Huyo mcundu ameniboa sana kmmmke, chuki za kishamba sana hata kwa mtu asiyemjua vyema
 
Mpaka unajionea aibu,si urudi kwa posts zako za mwanzo? Wewe kinakuuma nini daraja kuitwa la Mfugale? Huko nyuma ulivyokuwa unaropoka kisa tu Daraja limeitwa la Mfugale ni nini haswa? Punguza makasiriko na hasa kwa Marehemu, hata kama unatumia ID fake but maandishi yako yanakudefine wewe ni mtu wa aina gani.

Kweli ujinga mzigo. Kwani nao kama ilivyo kwa kuni umejitwika kichwani.

Post yangu ipi wapi kiliniuma mimi daraja lipi kuitwa Mfugale? Mimi siijui si uiweke hapa kama unaijua?

Huna hoja wewe. Uzi huu ni wa tanzia. Usiugeuza kuwa wa kutafutiana visa bila sababu. I rest my case.

RIP mhandisi.
 
Katika kipindi chake hakuna madudu ndani ya TANROADS ambayo hata tetesi tumezisikia.
Barabara zimejengwa kwa mamia ya kilometa nchini kote.
Bw. Mfugale alikuwa ni mtu makini sana.

RIP Boss!
Halafu kuna mijitu michawi, mishetani hapa inashadadia kufa kwake. Sasa tutamwoba Mungu ili wale wanaoshabikia vifo vya binadamu wakati hata Mungu hafurahii kufakwao, Yeye awaonyeshe kwamba shetani wanayemwabudu hana nguvu kuliko aliyewaumba.
 
Watu wanaandika kashfa kwa sababu tu alipendwa na Magufuli. Kusema ukweli mimi nilikuwa simjui na wala utendaji wake siujui lakini kwa kutumia hisia nadhani alikuwa mchapakazi na asiyependa kujikweza. Kwanini: Sijawahi kumsikia kwenye skendo au kujiona anajiweka mbele mbele kwenye media au mitandao au kuonyesha kwa namna yoyote kuwa ni msomi. Uzoefu unanifundisha kuwa watu wa aina hii huwa wachapakazi na wazalendo. Sijui huenda nimekosea lakini hisia zangu zinanituma hivyo.
Huyo jamaa amefanya kazi hizo za ujenzi katika wizara husika,tokea enzi za Raisi Mwalimu Julius Nyerere, Raisi Mwinyi, Raisi Mkapa, Raisi Kikwete, Raisi Magufuli hadi Raisi SSH.NI wazi amepata uzoefu mkubwa labda kuliko watu wengine wengi kwa kusimamia miradi mikubwa (Mega Projects),japo hakosi mapungufu.
Wengi wetu hatujui undani wa utendaji wake,lakini hadi Raisi Magufuli akalipa daraja jina la Engineer Mfugale Flyover ujue alikuwa Mhandisi mahili wa aina yake kwa taifa letu.Mungu amlaze pahala pema.Amen.
 
Daraja la Kijazi.... Daraja la Mfugale.... huku sio kuchuriana? Wazee wa maeneo husika wamekasirika! Turudishe majina ya asili ya maeneo husika! Daraja la Tazara, Daraja la Ubungo, stendi ya Kuu ya Mabasi Mbezi Louis!
Ndivyo inavyotakiwa haswaaaa
 
Back
Top Bottom