Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtt ni cuma mmoja, watu wa aina hio wanatia kinyaa jukwaaniAlikuibia pesa gani wewe masikini namna hiyo?
Ndio maana rais kawambia acheni porojo za katiba fanyeni kazi!
Vijana mtakufa koo zenu zikiwa zinaliwa na umasikini huku mkitumika kuwapandisha madaraja kina Mbowe!
Mfugale kaacha alama kwenye ukoo wake, wewe ukifa hapo ulipo utaacha nini zaidi ya ukurutu tu?
Alafu eti ametuibia! Amekuibia wew na nani?
Anafirrwa huyo mtotoUnahisi akifa ndio umasikini kwenye ukoo wako utaisha?
Choko kabisa, hii tabia ya kishoga ya kushabikia vifo vya watu inaashiria upungufu mkubwa wa akili baina ya baadhi ya watanzania wenzetu wenye chuki za kishamba!Kwani masikini anajificha?
Ukiona mtu anashangilia mtu tajiri kufariki au kupata tatizo ujue mtu huyo tangu ukoo wake ni masikini sana anaeamini umasikini wake umesababishwa na tajiri!
Sasa anapokuja hapa eti afe tu katuibia sana, ukimwambia weka ushahidi hana. Huyu ni masikini
Inatia kinyaa sana hii mijitu ya hivyoWatu wanavyo comment humu utazani wao hawatakufa kabisa, jamani jamani Kila nafsi iliyoumbwa na Mwenyezi Mungu itaonja mauti, hebu tuwe na akiba ya maneno, maana katika msiba huu, teyari Kuna mtu amekuwa mjane, wapo watoto teyari mayatima wako wajukuu wamekosa babu n.k
Mwendokasi ya mbagala tuite mfugale jamani kapambana sanaaaaaaaa
Wanajivika ukichaa shenzi taipu kabisaNa unakuta ni watu wazima kabisa tena wenye kutegemewa kutoa busara katika familia na koo zao.Lakini wakiwa hapa akili zao wanaziweka pembeni wanakuwa vituko kisa tu wanatumia fake ID.
Hisia za kimaskini na kiroho cha kinyongolilo tu! Mtu akipewa jina la structure flani ni kwa heshima na hii ipo toka enzi! Watu wenye impact kwenye taifa walipewa majina ya mitaa,majengo na hata sanamu zao kuchongwa! Its a norm kwa Tanzania ila chuki za kishamba na roho za kwanini ndio zimetufikisha hapa kwa wapuuzi kushabikia hata vifo vya wenzao kama vile hawatakufa[emoji21][emoji21][emoji21]Maisha sijui yanachanganya watu au roho mbaya!unakuta mtu anademkwa hata unashindwa kuelewa,kwamba daraja likiitwa mfungale sijui linamkwaza nini!
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Pesa zipi hizo mjomba, katika thamani ya daraja hela yako ya pipi kifua tu hainunui hata bulb moja ya chini mle acha kujitia wendawazimu! Atleast kodi za Bhakresa na Late Zakaria zinaweza kuwa zimefanikisha % kubwa ya daraja!Mimi napita kwenye daraja kwa raha zangu, ni kodi yangu imejenga sio pesa ya mamaezenu Mijizi na Milafi = MaCCM
Uko sahihi Magufuli alikuwa na mapungufu yake but alijua watu Legit na akawaweka karibu ili wafanye wote kazi! Amongst the Legit guys ni Prof. Mpango, late Mfugale, late Kijazi these are the least i know. Hawakupewa airtime tawala za nyuma ila they did great sababu hawakuwa wafuasi wa ubadhirifu! Ni kama vile aliwainua katika awamu yake ila wapuuzi wachache walioumia kimaisha wanataka kupandikiza chuki zao za kipumbavu kwa Magufuli na watu aliofanya nao kazi ilimradi tu wafurahishe micundu yao!Watu wanaandika kashfa kwa sababu tu alipendwa na Magufuli. Kusema ukweli mimi nilikuwa simjui na wala utendaji wake siujui lakini kwa kutumia hisia nadhani alikuwa mchapakazi na asiyependa kujikweza. Kwanini: Sijawahi kumsikia kwenye skendo au kujiona anajiweka mbele mbele kwenye media au mitandao au kuonyesha kwa namna yoyote kuwa ni msomi. Uzoefu unanifundisha kuwa watu wa aina hii huwa wachapakazi na wazalendo. Sijui huenda nimekosea lakini hisia zangu zinanituma hivyo.
Mpe kitu tu huyo choqo mods waelewa sikuhiziNatamani nikutusi naogopa ban
Kenge kabisa haoMuwe na heshima nyi kunguru
Huyo mcundu ameniboa sana kmmmke, chuki za kishamba sana hata kwa mtu asiyemjua vyemaMkuu nikumbushe kashfa zake huyu marehemu.
Si vyema kumjazia tuhuma kwakuwa tu alifanyakazi kwa karibu na marehemu rais wa awamu ya tano.
Kwenye serikali ya Magufuli pia kulikuwa na watendaji wazuri wenye weledi, na mmoja wao ni Mfugale.
Hata mama Samia ambaye leo anasifiwa sana hapa jf, alifanya kazi na mwendazake.
Mfugale hakuwahi kupata tuhuma za ufisadi, hakuwa na mbwembwe wala majivuno.
Apumzike kwa Amani
Mpaka unajionea aibu,si urudi kwa posts zako za mwanzo? Wewe kinakuuma nini daraja kuitwa la Mfugale? Huko nyuma ulivyokuwa unaropoka kisa tu Daraja limeitwa la Mfugale ni nini haswa? Punguza makasiriko na hasa kwa Marehemu, hata kama unatumia ID fake but maandishi yako yanakudefine wewe ni mtu wa aina gani.
Jina la mtu linaakisi uhalisia! Pole sanaAcha uongo mkuu......!!
Kwani alikuwa na hali gani?Kwa hali niliyokuwa namuona sishangai kufariki kwake. Mungu amjaalie kauli thabiti na ampunguzie adhabu ya Kaburi. Hakika kwake tutarejea.
Halafu kuna mijitu michawi, mishetani hapa inashadadia kufa kwake. Sasa tutamwoba Mungu ili wale wanaoshabikia vifo vya binadamu wakati hata Mungu hafurahii kufakwao, Yeye awaonyeshe kwamba shetani wanayemwabudu hana nguvu kuliko aliyewaumba.Katika kipindi chake hakuna madudu ndani ya TANROADS ambayo hata tetesi tumezisikia.
Barabara zimejengwa kwa mamia ya kilometa nchini kote.
Bw. Mfugale alikuwa ni mtu makini sana.
RIP Boss!
Huyo jamaa amefanya kazi hizo za ujenzi katika wizara husika,tokea enzi za Raisi Mwalimu Julius Nyerere, Raisi Mwinyi, Raisi Mkapa, Raisi Kikwete, Raisi Magufuli hadi Raisi SSH.NI wazi amepata uzoefu mkubwa labda kuliko watu wengine wengi kwa kusimamia miradi mikubwa (Mega Projects),japo hakosi mapungufu.Watu wanaandika kashfa kwa sababu tu alipendwa na Magufuli. Kusema ukweli mimi nilikuwa simjui na wala utendaji wake siujui lakini kwa kutumia hisia nadhani alikuwa mchapakazi na asiyependa kujikweza. Kwanini: Sijawahi kumsikia kwenye skendo au kujiona anajiweka mbele mbele kwenye media au mitandao au kuonyesha kwa namna yoyote kuwa ni msomi. Uzoefu unanifundisha kuwa watu wa aina hii huwa wachapakazi na wazalendo. Sijui huenda nimekosea lakini hisia zangu zinanituma hivyo.
Ndivyo inavyotakiwa haswaaaaDaraja la Kijazi.... Daraja la Mfugale.... huku sio kuchuriana? Wazee wa maeneo husika wamekasirika! Turudishe majina ya asili ya maeneo husika! Daraja la Tazara, Daraja la Ubungo, stendi ya Kuu ya Mabasi Mbezi Louis!