Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi .

Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo , tarehe 22/04/2024

anaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Kama walimtukana mama tena wanata
Naona taarifa za CCM unareport haraka sana. Wakati ww ni cdm. Kuna u kweli kuwa kuna wana cdm mchana wapo CCM using wapo cdm.
 
Dogo huwa anajivurugiaga mwenyewe japo ana ngekewa.
Waswahili wanasema hutakiwi kuongea sana wakati wa kula.
Waswahili wakaongeza kwamba unapomenya karanga za kipofu, usiongee piga mruzi huku unatafuna ili kipofu asijue unakula karanga zake, maana ukiacha kupiga mruzi atajua unakula karanga.
 
Kama walimtukana mama tena wanata

Naona taarifa za CCM unareport haraka sana. Wakati ww ni cdm. Kuna u kweli kuwa kuna wana cdm mchana wapo CCM using wapo cdm.
Sijawahi kuwa ccm wala chadema. speaking the truth. ila hata wanaccm wenye akili hawajafurahia kitendo alichokifanya. huyo imebaki tu aadhibiwe na Mungu, kwasababu inaonekana wanadamu wamemshindwa.
 
Ngoja akafungwe "gavana"
 
Hata safari ya mwisho ya mmoja aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM Bw. Horace Kolimba naye ilikuwa kama hivi hivi, aliitwa kama anavyoitwa huyu Paul Makonda.
 
Uko sahihi mkuu! Hata mimi nisingekubali ujinga huo! Ningetoka hapo podium nione anachofanya!
 
Nilisema, huo mkoa aliopelekwa ndiyo mwisho wake. Ashukuru meisho wenyewe una unafika akiwa na uhai.
 
Huyu mama naye sijui ni takataka ya wapi, hili jitu halifai hata kuongoza mtaa analing'ang'ania la nini? Halina maadili ya utumishi hata kidogo! Na linaonesha limetoka familia hohehahe sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…