Paul Makonda ana miaka 53 ila nashangaa anavyosema kazaliwa 1982!

Ile movie inaanza upyaaa .... ngoja Mchungaji Gwajima aje atete jambo
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Sema wamesoma lini na wapi?
Unaweza kuta kaka yako alichelewa kuanza shule au alianza akiwa na umri mkubwa.
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Nakubaliana na wewe .......Kwa sisi tuliozaliwa 1980s kushuka chini ni kitu cha kawaida maana wengi baada ya Kufeli Darasa la SABA tulibadilisha majina na kurudia Darasa la 5 aula 6 (Maalufu kama KUKALILI")...Ila naomba uniambie JIna lake wakati huo alikuwa anaitwa Paul Makoda au Albert Bashite?. Baada wakati wa Lle Dubwana ...kulikuwa na Vita katia ya JASUSI la Mbinguni na BASHITE
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
acha upotoshaji gentleman,
kiongozi ni chini ya 43, na ni mkubwa kidogo zaidi ya waziri wa maji 🐒
 
Makonda akawe na miaka 53! hata kwa kumuangalia tu unaona ni kweli?
 
Sasa kama alifoji cheti si inabidi apunguze miaka?
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Kwani hilo ndio jina lake halisi?
 
Yaani ukishakua na matakor makubwa akili inakua ndogo, we cheki Mwijaku, Makonda, bata and so on
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Siyo moja kwa moja mtu kusoma darasa moja muwe mmelingana umri.
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Kule usukumani kudanganya umri ni kawaida Sana🤣🤣
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Kazowea kudanganya hakuna sheria inamwadabisha. Je si huyu ndiye Daud Bashite?
 
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary

Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .

Hii haifai kabisa
Ivi ukisoma na mtu means mnalingana umri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…