MAMBO YA KIPUMBAVU HAYATUHUSU SS,TUNACHOJUA SISI NI NO REFORMS NO ELECTION ZAIDI YA HAPO NI UDANGANYIFU TU.Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Waziri Mkuu ni Captain George Simbachawene 🤔🤔Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Mkuu hapa unamaanisha na wewe NI mmoja Wao?Werevu hamtaki siasa mko bize na mambo yenu sasa unategemea nini
Acha hao wanaoitwa wajinga wachangamkie fursa za kwenye siasa ikiwemo uongozi
Makonda kuwa waziri mkuu hata urais sitashangaa hata kidogo
Tatizo ni kwamba watakubaliana kumpitisha mzee Kabudi kuwa mgombea nchi?! Yuko smart sana yule mzee na wachache naona wameliona hili ila wanamuonea kijicho… sidhani kama alistahili kupewa wizara ile anayoihudumu sasa….,..Kabudi anapaswa kugombea Uraisi, sio kuwa chawa au Waziri Mkuu. Simbachawene is bogus.
arkwahiyo tutakuwa na waziri mkuu asiyepanda kindege kwenda amerikani
ANAJUWA ENGLISH?Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Ajikute tu
1. Waziri mkuu mwenye ban kuingia kwa wafadhili wao?Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Hakuna umewaza wrong sana Waziri mkuu ni DOTO BITEKO TUHuyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
SanctionedHuyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Na biteko aende wapi...Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Mbona unashangaa braza...Are you normal?