Le mutuz alivujisha siri kuwa Daud Bashite hataki kumuona Tundu lisu Nchini ndiyo maana kaogopa kurudi kwanzaNadhani Lissu angeruhusiwa kurudi akae humuhumu wajibizane, anavyokaa nje nadhani anakuwa hatari zaidi kwa Taifa, bora arudi tu wamuache afanye siasa zake
Mimi kwa hili bado ni Tomaso.Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.
Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.
Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.
Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.
View attachment 1342609
Ofcourse DAB ni zaidi ya tumuonavyo..thats' obviousPossibly Makonds sio mtu wa kawaida kama tunavyomuona,labda ana matukio mengi sana(heavyweight) yenye mkono wake.
dodge
Mmeisha anza kurukana kudadeki ! mtatajana tu
Punguza ukuda wewekuna majina mengine matano , mawili kutoka bungeni moja kutoka Polisi , mawili siyataji .
Najua kesho kutwa lazma kuna clip zitavuja.. Zitavuja SanaKiukweli upepo umebadilika ghafla baada ya taarifa ya RC Makonda kupewa marufuku ya kuingia nchi ya mabwanyenye, Marekani.
Kabla ya taarifa hizi habari ya mjini ilikuwa ni Zitto na Kangi Lugola na kwa week end hii nina hakika wameshasahaulika.
Maendeleo hayana vyama!
Hahah atalikumbuka jina lake halisi round hii mkuu.Umeona mbali
CCM wakienda kuomba misaada huwaita wazungu ni wafadhili lakini hao hao wazungu wakikataa udikiteta wa CCM hukimbilia kuwaita mabeberuHakuna lolote wenye maamuzi ni watz tu wasio hao mabeberu na wasaliti
Huu ndio wakati muafaka kwa Watanzania kusimama na rais, maana anatafutwa kwa namna zote, wanataka wamdhoofishe ili waendelee kubeba madini maana yeye ndiye mzalendo wa kwanza kupambana dhidi yao, alifanya kitu ambacho hakijawahi kufanywa na kiongozi yeyote Afrika, leo hii Waafrika wote wanamtegemea kuona kama atashinda kwenye haya mapambano, ili na wao waliamshe.
Hapo walipogusia haki ya kuishi.Possibly Makonds sio mtu wa kawaida kama tunavyomuona,labda ana matukio mengi sana(heavyweight) yenye mkono wake.
dodge
La moja, Ni ndege wenye bawa moja, warukao pamoja!!!Ila wamechelewa sana BASHITE katuumiza watanganyika sana.
Kila nikimuangalia Magufuli nashindwa kumuelewa kabisa, ubabe wake wote amekua Rais DHAIFU kwa hiki kiumbe.
Uyo dogo kama makonda ame_mblackmail hivi haata mimi huwa nashangaaHuwezi kuta Millard Ayo kapost hii Kama breaking news
Angekua mwingine Sasa[emoji119][emoji119]
Hiv yule mtoto wake wa istagram hayuko sawa nae?na kutibu mwanae matege umegoma,
Ofcourse DAB ni zaidi ya tumuonavyo..thats' obvious
Ni vile tu hatujafunuliwa what he is really capable of
Siyo mmi mkuu ni Wamarekani .Punguza ukuda wewe