Mwisho wa ubaya ni Aibu walikuwepo akina mabutu, Abacha, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Iddy Amin Dada alikuwa na msaidizi wake mwenye roho mbaya kama ya Daud Bashite aliitwa kwa jina la maliyamungu leo hii wapo wapi?Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
Hapana waseme sababu nyingine lakini kwa hii wanatudanganya watanzania.
Secretary Pompeo
✔@SecPompeo
Today we designated Dar es Salaam Regional Commissioner Paul Christian Makonda as ineligible to enter the U.S. for his involvement in gross violations of #humanrights. We are deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in #Tanzania.
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hiziMwisho wa ubaya ni Aibu walikuwepo akina mabutu, Abacha, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Iddy Amin Dada alikuwa na msaidizi wake mwenye roho mbaya kama ya Daud Bashite aliitwa kwa jina la maliyamungu leo hii wapo wapi?
Kwani Ukizuiwa kuingia America utakosa Oxygen?
Marekan sio Peponi bana waache kujikweza
Kuna ma Billion ya Watu hawajafika America na hakuna cha maana wanakosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kheri kupigwa BAN kuingia nchi za asia, ila si marekani..
Bwana makonda pole sana, najua Nchi za jumuia za ulaya wanakuhesabia pia .
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hiziMaliyamungu wa Tanzania kwa sasa ni Daud Bashite
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hiziMnajaribu Jaribu Kujitetea Na Ushoga Lkn Nasikia Nae Bwana Yule Ndio Kungwi Wa Mashoga
Zimeongelewa Hatia Nyingi sana Kwann Ushoga tu Ndio Muone Imewauma
Comments Za Watanzania Kushangilia Niudhihirisho Tosha Wamechoshwa Na Ujima
Sent using Jamii Forums mobile app
CIA walishapewa taarifa zote za Daud Bashite na FBI waliopo hapo Tanzania juu ya utekaji upigaji risasi na kuwabambikia watu kesi kuwapora wapinzani ushindi kwenye chaguzi zoteHapana waseme sababu nyingine lakini kwa hii wanatudanganya watanzania.
Over deteriorating respect for human rights???
Zipii.??
Kwa hiyo huu ukandamizwaji wa haki za binadamu kaufanya makonda peke yake Kama mkuu wa mkoa ndio Mana yeye kapewa ban???
Uvunjifu gani alio ufanya, kaua, kanyonga mtu, kafunga mtu jela, kateka mtu ama nini hasa, Kama ni hivo kwanini hawakuweka ushahidi hata wa hayo aliyo yafanya???
Waseme tu ukweli na sio kutufanya wajinga kiasi hiki, Kama kweli huku kuna uvunjifu wa haki za binadamu na hakuna utawala wa sheria basi wangeanza na Rais na sio mkuu wa mkoa. Hili jambo linashangaza sana hili.
Au ni kwasababu aliwapinga walipotao matamko kuwa kutakuwa na mashambulizi ya kigaidi maeneo ya masaki bila kushirikisha serikali (huu ndo utawala wa sheria wanao utaka)na kusema watalii wasije tz.?
Au ni kwasababu aliwapinga pale walipokuwa wanalazimisha kuaminisha watu kuwa Tanzania kuna EBORA tena mgonjwa kagundulika temeke Dar es salaam?
Nadhani Wana kitu binafsi na Makonda na hii habari ya human rights ni kisingizio tu.

Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
Nakuuliza hayo yote kayafanya Makonda binafsi Kama mkuu wa mkoa au ni serikali nzima?? Kwamba huu ulikuwa ni mpango binafsi wa Makonda???CIA walishapewa taarifa zote za Daud Bashite na FBI waliopo hapo Tanzania juu ya utekaji upigaji risasi na kuwabambikia watu kesi kuwapora wapinzani ushindi kwenye chaguzi zote
Waziri mwenye dhamana mh. Prof wa Barick na sasa Twiga na sio mh. RAHISI wa JMT.Huyo alishajipiga ban mwenyewe longtime wala hana shobo za Uyankee chato inamtosha.
Nakuuliza hayo yote kayafanya Makonda binafsi Kama mkuu wa mkoa au ni serikali nzima?? Kwamba huu ulikuwa ni mpango binafsi wa Makonda???
Hao CIA kwanini hawakuweka ushahidi wa hata tukio moja alilolifanya Makonda na huo upigaji watu risasi unao usema??
Sana kiongozi yani ni kama wanaweka evidence kwamba serikali inahusika, hasa mchango wa burembo pale aliposema dawa ya msaliti ni kifo ilitakiwa speaker akemee ,lakini cha ajabu eti anapigiwa makofiHalafu nimekasirika sana leo kwa mibunge ya CCM kudai Zitto auawe. Yaani kwa ujinga yanamwaga petroli kwenye moto.
Yaani nyie CCM, Zitto akiguswa tu na unyasi, wote mnaishia the Hague, wapuuzi nyie.