Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
 
Kweli watu wamevurugwa, kwahiyo wewe ni party material!!!!
Kweli mtaji wa CCM in
Wajinga,
Maskini na
Wapumbavu
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea? Saudi Arabi baada ya kumchinja Kashogi Marekani waliendelea kufanya nao biashara na kuwapongeza, unajua kwanini?
 
Mpmbvu mwingine
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
 
Tulia dawa iwaingie wauwaji nyie
 
Kwanza makonda hawezi kupambana na ushoga maana yeye mwenyewe ni shoga!

Huu utetezi wako nausoma kama irony tu maana ni kituko!

Nilitegemea kwa kuwa huyo Gavana wa dar ni shoga, basi marekani wangempenda zaidi!

Hivi siku hizi marekani wanachukia mashoga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Echililo,
Barua instia kinyaa. Wale wasiojua ubeberu ndio huu. Wametuma vibaraka wao kina zitto na lissu bila mafanikio sasa wanajitokeza kuchukua hatua kuingilia mambo yetu ya ndani. Mtu kama zitto tulijua anatumiwa kwani hakua hivyo ila njaa na kukataliwa kisiasa vinamtesa. Ghorofa la dodoma atalimalizaje wakati wenyekiti kamati aliyokua akipata hela alushastukiwa.

Nyerere alisema mkiwa njia sahihi kumpata mwali mtasikia ..haoooo haooo haoooo wamepotea ...
 
KATIKA hao watz mashoga mmoja wapo NI wewe huwezi kuwaita wenzako mashoga wakati huna uthibitisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
 
Shambulio la lisu hata mtoto mdogo alijua nani amehusika hasa kutokana na mbinu za kishamba walizotumia wahusika kuanzia jiwe kuropoka saa chache kabla ya tukio sembuse mmarekani asijue msitafute mchawi
 
Tulia dawa iwaingie wauwaji nyie
Wauwaji gani? Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
 
Hii ni default comment? mbona unairudia mno?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…