FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;Wapi hii statement inasema kuwa makonda amezuiliwa kuingia marekani kutokana na kuzuia ushoga? Tamko linasema kuwa wamemzuia kuingia marekani kutokana na kunyima watu haki ya kuishi,haki ya kujieleza,haki za kukusanyika na haki za vyama vya upinzani kufanya siasa! Kama huna facts siyo sahihi kuleta porojo zako hapa! Unafikiri kila Mtanzania ni mjinga kama wewe? Unafikiri hili tamko hatujalifuatilia?!View attachment 1342944
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?