technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Juzi nilikuuliza ushawahi kwenda Marekani ?Kiukweli hawa mabeberu ni washenzi sana, Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
asingelia alivyonyimwa visa tarehe 20 december FYI KABLA alishaendaga huko akala bata akaturingishia na mapicha na kuna nyingine hii hapa,MABEBERU YANANIFURAHISHA SANA JINSI YANAVYOWALA VIBOGA MATAGA ,NA BADO TUKO PAMOJA NA MABEBERU HADI MWISHO WA MCHEZOTaifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Si aenda huki kwao, akatembelee Mbunga ya baba yake chatobashite last december tarehe 20 alinyimwa visa ya US hapo ubalozi akalia sana hata UK walimnyimaga ni wakati sahihi wa kwenda holiday huko kwa idol wao kagame kutumbua mamilioni yale aliyoyahifadhi chumbani kwake na ile akaunti iliyonona ya crdb pale azikiwe
ALISHAWAHI KUNYIMWA UK ILA DECEMBER 20 2019 ALINYIMWA YA USA hii ya leo ni kwamba waziri wa mambo ya nje Pompeo kathibitisha rasmi tuNi kheri kupigwa BAN kuingia nchi za asia, ila si marekani..
Bwana makonda pole sana, najua Nchi za jumuia za ulaya wanakuhesabia pia .
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kupata kichekesho[emoji23]kama ichi unabonyeza namb ngap
Yatakuwa maajabu ya 8 ya dunia yaani pompeo atumie muda wake kabisa aandike kuhusu bashite-utakuwa anafanya upumbavu wa karne na kujiaibisha.
Fikiri kabla ya kutenda.Duh! Pompeo anamjua hadi standard seven Bashite?
ukizuiwa Marekani ujue umepigwa pini kila mahali na unafuatiliwa kwa zero distance
Alikuwepo dom siku ya tukioMpaka hapo wanajua anahusika ishu ya Lissu na mauchafu mengineyo.
Wewe ndo fala first class, Bashite kabla hajaleta makontena ya magari na fenicha za kifisadi alikwenda wapi mwaka juzi?Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
lumumba hayajui hata kazi za mabalozi mabeberu hapa kwetu ndo hayahaya mabunge majinga ya CHAMA CHAKAVU yanasema zitto anatoa siri za nchi nje kana kwamba hakuna mabalozi wa nje hapa kwetu au tunaishi kwenye chungu