Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Magufuli ubabe wake ni kwa raia zake tu anajua hawana uwezo wa kumanya chochote zaidi ya kusikitika, lakini mbele ya USA ataufyata kama aliefumaniwa vile.
 
Kwani asipoenda Marekani yeye anakosa nini!?achane nao mabeberu tu hayo tena ikiwezekana na wao tuwazuie kukanyaga bongoland.
 
Hawa watu wanatabia ya kuchunguza na kuwa na taarifa nyingi za watu tawala giografia nk. Sasa kwa hili lazima wanataarifa . Kwa nini wasema jamaa anahusika na haki za watu kutokuishi....pana makubwa
 
Wanunuzi wakubwa wa Korosho,kahawa na Pamba duniani ni mmarekani.Sasa mtauza korosho na pamba kule sokoni kariakoo.Mchekeeni tu
 
Magufuli ubabe wake ni kwa raia zake tu anajua hawana uwezo wa kumanya chochote zaidi ya kusikitika, lakini mbele ya USA ataufyata kama aliefumaniwa vile.
Si alisema yeye ni jiwe?
 
USA asituchezee nasisi tumuekee vikwazo[emoji23][emoji23][emoji23] au tuitindue ile kambi yake ya kenya pale Ma ma e [emoji85][emoji85][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona wampeleke Pampeo kwa DPP akapigwe na kesi ya kutakatisha pesa tu na jinai kwa kutumia jina la mkuu wetu wa mkoa
 
MTEMA KUNI alikiona nini hivi uyujamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unamueka pompeo level moja lemutuz, haji manara, polepole, kibabaji!
Watu wengine akili zenu mnazijua wenyewe
 
Tatizo ni impact ya America,
90% ya nchi alizoingia dam ilimwagika.
Ningeona mnaakili it's best Mkachochee At UN angalau wanaweza kuwa na Salia Mtume.

USA amekuja na chokochoko ngapi?
Yan anatafuta njia ,
Kila sehemu yeye ni kuharibu! ?
What you don't know do you think it will be like Egypt or More than?
How do you gurantee yourself it's not reach at Somalia, Libya, Iran, Iraq point zone.

Ulishawai kuona vita ikipiganwa ulishawai kumuona M2 akipigwa Risasi mbele yako.
Mm nahisi tunayoyatafuta ni makubwa kuliko ya Lissu, na wengine
Coz dam itayomwagika itakuwa ni watanzania wasiojua chchote kuhusu siasa instead ya mambo mengine tu.
Hivi ujui kuwa Robo tu ya Watz wapo interested na siasa apart of zaid ya 70 %

Hawana muda na Hawajui chochote kuhusu siasa, if you want to believe nenda Majukwaa ya umbea , Mapenz na story look views alafu come here look views and participants .
Hapo utajua they want to sucrifice other wakati wenyewe wapo abroad.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…