Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Marekani wanamzuia mtu mwenye maslahi yake nchini mwao. Pesa za jiwe za manunuzi mabovu makonda ndio alikuwa anazisimamia huko.Hatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani. Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?
Chakufanya,nasisi tuwapige ban na misaada yao tuikatae kuanzia sasa mabeberu haya.Ndo ujiulize dawa zinapelekwa marekani ndio Kuna soko wanakamatwa wamexico waafrica na wapakistan
Ukishaelewa TAASISI YA URAIS basi utaelewa maana ya kutuma uwakilishi. Kabudi & Co wanapopishana kwenye korido pale white house ni kwa ajili ya Rais.Hatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani. Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?
Ana subiri Mh. Spika jumatatu awapange wabunge wa Ccm kusema Zitto sio mzalendo ndie kawaambia Wamarekani wamseme vibaya mtoto wa baba..Nimeshangazwa sana kuona Leo hii RC Makonda kashindwa kujitokeza kujibu tuhuma nzito zilizotolewa na Marekani dhidi yake.
Kuhusu kuzuiwa kwenda US hata mimi namuunga mkono kupotezea kwani sio lazima kwenda huko maana mie binafsi huu ni mwaka wa NNE sijakanyaga US na sioni tatizo maisha yana songa, lakini tuhuma nzito kama kukatisha maisha ya watu hasa wapinzani kisiasa sio za kukaa kimya.
Jee hajui kuwa sasa hivi wenye ndugu zao walio potea kwa hisia kuwa sababu ni za kisiasa wamesha muweka kuwa yeye ndio kawateketeza? Maana US hawana sababu ya kumzushia Makonda tuhuma nzito kama hizo.
Hajui kuwa tuhuma hizo nzito zinamuweka mashakani maana hakuna atakaye jitokeza kumsemea zaidi yake mwenyewe na watu tayari wamemuweka kwenye kundi la wauaji?
Ajitokeze akane au atamke kuwa alikuwa naye anatumwa tuu.View attachment 1343146
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiutaratibu ofisi za ubalozi ni nchi. Kwa hiyo Makonda marufuku kuingia ofisi za ubalozi wa usa nchini? Kama ni kweli. Hii ni dharau kubwa. Mkuu wa mkoa asiyekuwa huru aliye wekewa mipaka.
Haikubaliki kabisa.
Hapa unakiri Makonda ni muuaji ila pia USA ni wauaji pia!!Teh teh tehMbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
Tabia kuu ya mpumbavu ni kukosa hoja!Wewe Ni shoga ndo Maana mnamupiga Vita makondaa kisa kawazuia ushoga jijini dar.
Hamujawa salama bado Tutaendelea kumuunga mkono kuzuia Tabia za kishetani zote mnazotaka tuzifuate. Mashoga nyie.. kamwambie na Trump + pompeo wenu. Nothing they gonna change.
Makonda ni muuaji,hata shambulio la Lissu kulikuwa na tetesi kuwa anahusika lakini pia alionekana dodoma siku ya shambulizi!
Ruhusu kidogo kufikilia kwa akiliyako.makabrasha ya darasani achana nayoHatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani. Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?
Kwani tangia lini Tanzania imewahi kuwa juu ya Marekani? Hivi kama wameshakuzuia kwenda nchini Kwao hivi ' Logically ' tu wanaweza Kukuruhusu kwenda katika Ubalozi wao ambao una Hadhi na Thamani Kubwa pengine kuliko hata Ikulu yako? Hivi kulijua hili Jambo jepesi kulihitaji Mtu uwe na Certificate au Diploma au Degree au Masters au Doctorate kweli?