Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

wewe ni mpuuzi. dar hakuna madawa ya kulevya? ni kweli dar hakuna ushoga wale wakina kadinda na delicious wanapumuliwa na nani kisogoni? acha upumbavu wako bhana
 
angetangazwa gaidi drone ingeanze kuvinjali maeneo ya ilala
 
Makubwa yapi. Americans are stupid. Huwezi leta reasons ambazo hazina msingi. Hawa jamaa ni mwendawazimu ndio anaweza kuwaamini. Angalia matukio mengi duniani ya uongo wanayoyafanya

Sent using Jamii Forums mobile app

I don’t need Americans to tell me that all allegations laid agains Makonda are true. Ni mtu mwendawazimu tu anaweza kumtetea Makonda.
Dude is a total lunatic.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aliwapiga marufuku watu wasiooga kuingia Dar,Leo yeye kapigwa marufuku kuingia marekani.Maisha haya ni kazi kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko wanatuhusu nini?
Tuanzie kwetu sisi tusiopendana kwa sababu tu ya madaraka na vyama.
Mkiambiwa Rais awe huru bila kujali vyama mnakataa kwa sababu mnataka kuteuliwa na uteuzi uwe wa chama kimoja.
Hivi Mtu wa Chadema au Cuf hawezi kuwa Balozi?

Je, Mabeberu wanateuliwa kwenda kwa mabeberu kufanya nini kama hawana jema la kujifunza kwao?
Kwenye Koran kuna Sura ya Wanafiki.



Hizo nchi ulizozitaja zina matatizo makubwa sana kutokana na kuwa na Viongozi wapenda madaraka.
Wanatumia ujinga wa watu wengi kubakia madarakani.
Hivi Gadafi kule Libya enzi zake alikua na sababu gani ya kuanza kutoa vitisho kwa Israel kuwa Ataiondoa kwenye Ramani ya Dunia?
Bila shaka alikua anajua kuwa Libya ni nchi ya Kiislam hivyo kuwahadaa kuwa unauwezo wa kuiangamiza Israel utapata uungwaji mkono mkubwa toka kwa wananchi ili hali akijua kuwa Marafiki wa Israel wakubwa ni Marekani!!
Kwa nini Gadafi asingeendelea kuijenga nchi yake iwe bora kuliko hizo za magharibi bila kuitishia Marekani na Israel.
Kwa nini Gadafi awe anatuhumiwa kuunga mkono makundi ya Kigaidi dhidi ya Nchi za Magharibi?
Unategemea nini kama utaanza kujiingiza kwenye vita baridi na moto kwa mataifa ya mabeberu?
Hivi kuna mtu aliyekua amewanyanganya Mali nyingi wazungu na wahindi kama Nyerere? Ni kwa nini hakuzuiwa kwenda Marekani au kokote duniani!! Ni kwa sababu hakuwa anatoa wito wa kuwashambulia Wazungu na wa Israel na Mali zao popote duniani kama hao uliowataja.
Iraki alijipambanua kuwa anajiandaa kuiangamiza Israel. Unategemea nini? Irani nao wanahangaika kutafuta maendeleo yao lakini kwa kujinasibu kuwa wataiangamiza Israel huku wakijua kuwa ni Marekani haiwezi kukaa kimya kuona Israel ikiangamizwa.

Kwa nini Kuweit ,Qatar, Falme za Kiarabu na Saudi Arabia hawavamiwi kama LENGO la mabeberu ni kuvamia tuu! Kwani Maisha ya Wairani ni mazuri kukiko ya watu wa Falme za Kiarabu.
Mbona Kuna waarabu wanaishi maisha kama Peponi bila kutoa vitisho dhidi ya Israel au nchi za magharibi?
Huku kila siku unasikia hao mashoga ,mabeberu ,wanyonyaji, wasitupangie, tunajitawala lakini asilimia kubwa ya ulinzi na mbinu za kujilinda tunajifunza kwao.
Tunaomba misaada ya elimu na madawa n.k.
Kwenye Koran kuna sura ya wanafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena amwambie hao wanao sema sema mtandaoni walikuwa wapiga dili wanamuonea wivu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Mzee baba umesaau kuwa mwaka juzi alikuwa huko hadi akapga picha kasimama mbele ya sanam lenye utupu nje. Je tutaweza wavimbia wakati mkopo wa USD 500 ml unatupigisha kelele japo tumesema hatutaki pesa ya mabeberu?
 
Wale wenye mapenzi mema tuweke mgomo wa kwenda USA kama sehemu ya kusimama na kiongozi wetu.
 
CIA walishamaliza kazi yao file limeshakabidhiwa kwa Trump.

Damage is beyond repair.
 
Kabla hujaendelea kuandika hembu tambua kuwa ukizuiwa Marekani umezuiwa ulaya na kwa nchi rafiki zote kwa Marekani mfano Israel. Nadhani hufahamu kuhusu maombi ya visa na interviews za visa application

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ukisikia Ulaya unajua nchi ngapi?
Unafikiri anaweza kuzuiwa kuingia nchi za Ulaya Mashariki?

Najua UK, France, Belgium, Netherlands na Nordic country zingine anaweza kupata shida kuingia, ikiwemo na Austaralia na Newsland lakini hii haindoi ukweli kwamba nchi washirika wa Marekani wanaweza kumruhusu kuingia.

Sheria za nchi zao hazisemi ukizuiwa kuingia Marekani kwa makosa ambayo sio ya ughaidi utazuiwa kwa washirika wote.
Ndio maana Abrohimovich alikosa visa ya kuishi na kufanya kazi UK akaenda Israel na anaingia nchi zingine za ulaya.

Marekani akipitisha azimio la vikwazo vya uchumi au vya kusafiri kwa muhusika ndio washirika wanalazimika kufuata hivyo vikwazo vya kusafiri kama vile alivyo wekewa Al Bashir, Marehemu Mugabe n.k.
Makonda hajawekewa vikwazo vya kusafiri bali amewekewa zuio la kuingia Marekani tu.

Kuna watu kibao wamekwama nchi za Ulaya sababu wamezuiwa kuingia Marekani, na huko Ulaya sio kwao, unakuta wametoka Asia kama Syria, Iran, Jordan na nchi zingine za Mashariki ya kati, Uchina na Afrika.
Mfano kuna raia wa marekani waliokamatwa Syria waliokuwa wapiganaji wa ISIS/Islamic State Jihadist, wake zao na watoto wao.
Wamepokelewa nchi zingine za Ulaya ambazo ni washirika wa Marekani, ushahidi ninao wa video, ukibisha weka dau lapesa nikuwekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…