chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
EeeehCIA wanasema ilikuwa sumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EeeehCIA wanasema ilikuwa sumu
Ndugai inabidi awe makini sana. Kwanza akiuruhusu mjadala halafu awaachie wakina msukuma kuropoka ujinga wao bila kuwacontrol basi ataonekana ni sehemu yao hata kama asipozungumza chochote. Kama ana busara atazuia hoja mara itakapopendekezwa. Nadhani hata No.1 atamuelekeza hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Am shook myselfAiseee....Mike Pompeo kuandika habari mbaya kuhusu mtu kama Makonda ni kitu cha hatari sana. Makonda has to be careful. Na anaemkingikia kifua inabidi awe makini zaidi.....Ngoja tuone!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wa juzi tu,December 2019
😆😆😆Utakuta mtu ana furahia Makonda kuzuiliwa kuingia US yeye hata Kitambulisho cha nida hana. [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ujue mashoga wanalindwa kuliko hata watoto wa Zitto Kabwe na WB wanaojifungulia mashuleni
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, wapo wapi akina chiluba, Abacha, Gadafi, Sadam Hussein, Bokasa , Iddy Amin Dada na yule msaidizi wake aliyeitwa maliyamungu aliyekuwa na roho mbaya kama ya Daud Bashite.Leo naposti kwa uhuru najua sitapotezwa.
Asante Lissu, Asante Roma, Asante Kabendera, Asante Magoti.
RIP Ben Saanane, RIP Mawazo nafsi zenu hazijapotea bure.
hahahahahahahaha
nafuatilia uzi wa pompeo twitter kuna majamaa yanawashtaki kwa pompeo hadi wakina bulembo.
beberu anataka kukwapua kiki zote sasa
Washenzi sana hao bwn Pasco.....Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Mabeberu wa JF.Ww kuna bebelu na beberu ww ulipigwa ban na kina nani !?
Marekani ndio nani kwanza na kwa utakatifu gani alio nao kwa kuziamulia nchi mbali mbali Duniani zenye misingi yao personal? Eti tuheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Kwa utakatifu gani walio nao?
Serikari inazuia mikusanyiko ya vyama vya siasa wakati usio kuwa wa campaign ili kuzuia uvunjifu wa amani nchini, leo hii Marekani anakurupuka anataka mikusanyiko iwepo hata kama haijaruhusiwa na sio kipindi cha cha campaign na amani ikivunjika nchini mambo yakiharibika nchini hawa jamaa hamto wasikia kokote wakituimbia suala la amani zaidi ya kutucheka,
Na mpango wao wa NWO wanataka wawe na say juu ya taifa lolote ili wapate nguvu ya kuitawala Dunia kirahisi,
Huyu mmarekani muovu kabisa hawezi akaja kukuimbia wimbo wa haki za binanamu kakujulia wapi na kwa utakatifu gani alio nao, asilimia 100% ya maamuzi ya hawa jamaa juu ya taifa lolote Duniani ni kwa lengo la kubomoa sio kujenga, hata kama mtaona faida mwanzoni baada ya kuyatekeleza maagizo yao mwishoni ni hasara,
Namuombea maisha marefu na afya Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli ni mwamba, hata kama wakituzuia kwenda huko kwao Marekani kwani Marekani ni mbinguni, wapuuzi tu hawa,
Hapana haijafungwa mimi natumia Air tellMsukuma yule.Vipi line yako ya voda imepona kufungiwa?
lini ulisikia marekani yumo kwenye hiyo mahakama ya ICC wakat yeye si mwamachama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Am shook myself
kwa nafasi yake in the US and the World kumdili Bashite waziwazi aiseee..where are we going[emoji3064]
Consult your Google by writing "who is USA" halafu rudia kusoma comment yako ulioandika.Marekani ndio nani kwanza na kwa utakatifu gani alio nao kwa kuziamulia nchi mbali mbali Duniani zenye misingi yao personal? Eti tuheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Kwa utakatifu gani walio nao?
Serikari inazuia mikusanyiko ya vyama vya siasa wakati usio kuwa wa campaign ili kuzuia uvunjifu wa amani nchini, leo hii Marekani anakurupuka anataka mikusanyiko iwepo hata kama haijaruhusiwa na sio kipindi cha cha campaign na amani ikivunjika nchini mambo yakiharibika nchini hawa jamaa hamto wasikia kokote wakituimbia suala la amani zaidi ya kutucheka,
Na mpango wao wa NWO wanataka wawe na say juu ya taifa lolote ili wapate nguvu ya kuitawala Dunia kirahisi,
Huyu mmarekani muovu kabisa hawezi akaja kukuimbia wimbo wa haki za binanamu kakujulia wapi na kwa utakatifu gani alio nao, asilimia 100% ya maamuzi ya hawa jamaa juu ya taifa lolote Duniani ni kwa lengo la kubomoa sio kujenga, hata kama mtaona faida mwanzoni baada ya kuyatekeleza maagizo yao mwishoni ni hasara,
Namuombea maisha marefu na afya Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli ni mwamba, hata kama wakituzuia kwenda huko kwao Marekani kwani Marekani ni mbinguni, wapuuzi tu hawa,
Ukisoma majina ya teuzi za leo tumeula ula po sanaMsukuma yule.Vipi line yako ya voda imepona kufungiwa?
Sasa tuko na Trump bwashee!