Pompeo ndio anashida na makonda,Sasa Bashite ataongea nini na Pompeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pompeo ndio anashida na makonda,Sasa Bashite ataongea nini na Pompeo.
Acha cherry picking mimi nimetoa mfano kuwa mbona ameingia nchi masikini pia ambazo hazima rasilimali kama Kosovo au Guatemala?Mbona unajitekenya mwenyewe? Nimekueleza kwamba hakuna nchi yenye natural resources ambayo marekani ataingiza mkono wake kutetea haki za binadamu unless ni kwa maslahi yake ya kiuchumi kwa kuivuruga na kupora rasilimali hatimaye.., nimekutolea mfano wa nchin tatu, sasa tusitake tuwe wa nne..
Wewe waache tu wamarekani, tutawapiga shangazi zao mpaka wanyooke😂😂😂😂sisi ni matajiri sana, hata U.S.A akitaka vita na sisi tutampiga yeye na washirika wake wote.
hatujawahi kushindwa kwenye medani ya vita
Kwa hiyo unataka a'abide na demokrasia za ushoga?Siasa za kibabe siku zitw zina matokeo mabaya,ila siasa za kidemocracy..kwa dunia ya sasa ndo zinatija...kwa nchi kama zetu ndogo na hafifu kiuchumi ni lazima viongoz watambue hili,lazima wa abide na baadh ya vitu ili kuendana na khar ya dunia ya sasa...ila katika utawala wa huyu mkulu ni kwel anajitahidi kuleta mabadariko ila anatumia siasa za kibabe,yaan hutak utataka as long as nimeamua mimi.uhuru wa kujieleleza kwa dunia ya sasa unapimwa kama kigezo muhimu kwa democracy,mambo yote ambayo wameyaeleza ukiyachunguza yapo na yamekuwa yakilalamikiwa,kupiga marufuku vyama tawala kufanya mikutano,na shughuli zote za kisiasa,utekwaji na kutokuwepo na taarifa au juhudu za wazi kutatua matatizo haya,ni kama serikali inejielekeza sana katika mipango yake kabambe ya maendeleo,na yeyote atakayejaribu kuharibu mpango au kuingilia basi he is dead...
Hivi Bashite mwenyewe alivyo mwepesi wa kutoa matamko baada ya zuio hilo hadi sasa hajatoa kauli yoyote inayohusiana na huko kupigwa marufuku?Marekani anao uwezo wakutoa masharti ya kuweka vikwazo kwa nchi yoyote itakayomruhusu makonda kuingia unalijua hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani kamshindwa Syria anataka kupotezea kwa kumsakama makondasisi ni matajiri sana, hata U.S.A akitaka vita na sisi tutampiga yeye na washirika wake wote.
hatujawahi kushindwa kwenye medani ya vita
Kama alivyorudishwa Hans Pop kiaina, kuna watu ukiwa nao mbali ndio wanakuwa wabaya zaidi kuliko ukiwa nao karibu, maana nirahisi kuchunguza nyendo zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona sasa!! ww umesema nchi ikikua kiuchumi wanaimaliza sasa Rwanda mbona hawaimalizi?? Umehamisha magoli tena.......Kuna nini Rwanda zaidi ya masokwe? Mambo yote yapo DRC north east, kaone balaa lake huko sasa, hata Rwanda ni mnufaika..