Trump Administration Adds Six Countries to Travel Ban (Published 2020)
President Trump added Africa’s biggest country, Nigeria, as well as Myanmar, Eritrea, Kyrgyzstan, Sudan and Tanzania, to his restricted travel list.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante mabeberu kilio chetu mmekisikia.
Shida unaongea kumbe hata hujui historia wala foreign policy.Nani kakwambia Watanzania ni Watu wa Vurugu na pulukushani.
Labla hzo vurugu uzifanye ww msaliti na Zitto wako .
Unafikiri zito yeye anataka kuchumia Tumbo not anymore else,
Sizani kama ninaweza mweka Mbowe at 100 best leader in Tz list but katika list ya viongozi wasaliti hata chadema wanamjua.
A part of Mabeberu waliisaidia South toka lini instead wenyewe ndo wali colonize SouthA. , you talk you don't understand
Toa mfano impact ya Mabeberu.
Mnasema Misri , hamjui dam ilimwagika
Mnataka kumwaga dam za wenzenu walioko tz ,
Wakati mnakula raha ulaya.
Kitu ambacho sikipendi upinzani ni kimoja
"Ndoto yao ni Watanzania tuuane tupigane ili waichukue Nchi"
Wakati wanatuchochea unaweza wenyewe wako nje wanakula maisha.
Watanzania tuache uwehu tutauana bila sababu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kama USA ni wabaya kwanini mnachukua mikopo yao au hujui hyo World bank nani kaanzisha!!!Kwahiyo anachokisema USA unaamini? Angalia matukio mengi aliyoyafanya duniani kwa kuidanganya dunia. Hiyo barua ukiiangalia kiundani ni copy paste. Yaani wamechukua barua ambayo washaandikiaga watu na kuedit jina la makonda tu. Swala hapo ni la ushoga tu hakuna kitu kingine. Nasikitika sana kuona waafrika wanawaamini sana USA katika kila jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukataza watu mambo ya vilainishi ni kuwanyima haki yao ya kuishi? Ndivyo unavyoona?Itakuwa ishu ya vilainishi tu
Ila wabongo mmezidi unafiki sana kama mnapinga ushoga muache kuangalia premier league maana inasupport ushoga ndio maana wanavaa armband ya Gaypride flag. Biblia zote za king james zimetafsiriwa na kuandikwa ma James 1 ambaye alikuwa shoga kabisa. Biblia za tafsiri ya NIV ambazo ndio zinasomwa zaidi duniani zinachapishwa na Harper-Collins inayomilikiwa na wanaosupport ushoga zondervan. Kwahiyo ukipinga ushoga usiguse google,Usisome bible wala usiangalie mpira.We are deeply concerned. Haya, kazi ipo kweli kweli. Maisha ya mamilioni ya watu yanateketea huko Asia,chanzo wakiwa wao,na huko, watasema we are deeply concerned. Kila kitu,popote we are deeply concerned. Haya, huko China kwenye Corona mbona hawajawa concerned? Ndo maana naipenda sana Iran. Ukoloni wao unapaswa uwe na kikomo. Wapo walio tayari kunufaika na mali za Afrika,lakini si kwa upuuzi. Mzazi umezaa,umesomesha,af mwishowe unaambiwa litoto lako Shoga. Hii inaingia akilini kweli? Au wanachoitaji tuendelee kuonekana wapumbavu wasio na akili. Bahati mbaya wengi wetu hatujatambua kuwa wenzetu hawa wanafanya plans za miaka 100 ijayo,kwa ajili ya watoto wao. Hivyo,haya yote yatawakuta wajukuu zetu
Hili ni suala la kujiuliza sana, haiwezekani Kijana mdogo tu anatuhumiwa kwa tuhuma nzito. Kunyima watu uhuru wa kuishi maana yake ni kupoteza maisha ya watu, Je ameshapoteza maisha ya kina nani na yeye ni nani hasa hadi apotezee watu maisha?
Tunasubiri siku moja hawa wazungu watuwekee ushahidi ili tumfahamu vizuri Makonda na tuanze kutafutana.Wathibitishe ili tujue kweli ni lini Bashite kawa Israel wa kunyima watu uhuru wa kuishi, ili tujue hayo mamlaka anayatoa wapi.
Huu ni mwanzo mzuri na ushahidi huu ufikishwe The Hague. USA hawawezi kutufanyia sisi propaganda kwani ni yetu ni ndogo sana. Hawa jamaa washajikusanyia ushahidi wa kutosha, kufikia kumyima mtu kibali cha kukanyaga kwao basi tufahamu kua huyu mtu ni hatari kwa taifa.
Unamvimbisha kichwa tu.Pascal Mayalla, kuna watu hawaelewagi maandiko yako!! Except hiyo vepeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu au Bashiye akipora ni sawa?Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Upo Tanzania? Unafikiri ubavu wa kuamrisha FFU anaupata kwa ukuu wa mkoa? Unakumbuka suala la Nape? Na Makonda kuwa Dodoma kwa kushangaza siku ya jaribio la kumuua Lisu? Na kwa nini panga pangua na vyeti fake bado mliambiwa haondoki Dar? Mahela anayopata ya ofisi na kugawa unafikiri ndio bajeti ya Wakuu wa mikoa? Ulishaenda ofisi ya Makonda ukaona ilivyo? Unganisha doti.Kwenye statement ushoga upo na hata gazeti la New York Post wameandika! Kuhusu kwenye uhalifu dhidi ya binadamu mbona Makonda siyo mtendaji wa vyombo vya usalama wala hana mamlaka ya maamuzi?
Hivi kuzuia madawa ya kulevya kwa nguvu zote ndio unakotafsiri kuwanyima watu haki ya kuishi? Yaani kwa busara zako unaona USA watakukatalia visa kwenda kwao kwa kuwa unaongooza vita dhidi ya madawa ya kulevya? Au kukataza ushoga ni kumnyima mtu haki ya kuishi?Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Kwenye statement ushoga upo na hata gazeti la New York Post wameandika! Kuhusu kwenye uhalifu dhidi ya binadamu mbona Makonda siyo mtendaji wa vyombo vya usalama wala hana mamlaka ya maamuzi?