Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

We are deeply concerned. Haya, kazi ipo kweli kweli. Maisha ya mamilioni ya watu yanateketea huko Asia,chanzo wakiwa wao,na huko, watasema we are deeply concerned. Kila kitu,popote we are deeply concerned. Haya, huko China kwenye Corona mbona hawajawa concerned? Ndo maana naipenda sana Iran. Ukoloni wao unapaswa uwe na kikomo. Wapo walio tayari kunufaika na mali za Afrika,lakini si kwa upuuzi. Mzazi umezaa,umesomesha,af mwishowe unaambiwa litoto lako Shoga. Hii inaingia akilini kweli? Au wanachoitaji tuendelee kuonekana wapumbavu wasio na akili. Bahati mbaya wengi wetu hatujatambua kuwa wenzetu hawa wanafanya plans za miaka 100 ijayo,kwa ajili ya watoto wao. Hivyo,haya yote yatawakuta wajukuu zetu
 
Nani kakwambia Watanzania ni Watu wa Vurugu na pulukushani.
Labla hzo vurugu uzifanye ww msaliti na Zitto wako .
Unafikiri zito yeye anataka kuchumia Tumbo not anymore else,
Sizani kama ninaweza mweka Mbowe at 100 best leader in Tz list but katika list ya viongozi wasaliti hata chadema wanamjua.

A part of Mabeberu waliisaidia South toka lini instead wenyewe ndo wali colonize SouthA. , you talk you don't understand

Toa mfano impact ya Mabeberu.
Mnasema Misri , hamjui dam ilimwagika
Mnataka kumwaga dam za wenzenu walioko tz ,
Wakati mnakula raha ulaya.

Kitu ambacho sikipendi upinzani ni kimoja
"Ndoto yao ni Watanzania tuuane tupigane ili waichukue Nchi"
Wakati wanatuchochea unaweza wenyewe wako nje wanakula maisha.

Watanzania tuache uwehu tutauana bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida unaongea kumbe hata hujui historia wala foreign policy.

Mandela alipiga kelele ndio uingereza na jumuia ya madola ikaweka vikwazo kwa South Africa sasa hili hulifahamu?? Kumbe hujui mabeberu nao waliisusia Zimbabwe na SA?? Historia ya secondary hii inakushinda?

2. Watanzania sio watu wa vurugu?? Sema ni waoga tu ila wakichoka yanatokea ya Kibiti na Mtwara. Sasa marekani hahitaji kutupiganisha yye anaweza hujumu tu mikopo yote tukafilisika. Hayo ya kuchochea vita ni mataifa makubwa tu ila nchi maskini kama Tz ni vikwazo vinatosha kutuburuza.

3. Zitto kama anafanya kazi kwa ulaji kwanini asiende CCM wakati alikua na offer hyo 2013?? Actually by now angekuwa waziri..... Zitto ana CV ya kufanya kazi tasisi yoyote ya uchumi duniani kama issue ni hela kwanini abaki upinzani asiende WTO huko!!?

4. Mbowe anaingiaje hapa?? Kwa takwimu mbowe ndio mwenyekiti bora wa vyama vyote TZ kiufupi ni CHADEMA pekee ambacho kimeongeza kura kila uchaguzi tokea ianze kusimamisha mgombea urais ila CCM cjui CUF na NCCR ni decreasing rate kila uchaguzi.

5. Kuhusu Misri waliokufa ni maandamano tu ila Libya ni bomu Vs Bomu so walikufa malaki majengo kubomolewa ndio maana nchi imepasuka kabisa. Kwahiyo tofauti ni ipi?? Mubarak na Morsi waliondoka bila kuanzisha vita ndio hta Tunisia,Algeria na Morocco.

Issue ni vita mkuu ndio inaua uchumi ila sio eti fitna ya marekani..... Akikufanyia fitna ukapisha bila vita nchi yako inaharbikaje?? Zimbabwe uliona vita?? Je imeparaganyika zaidi ya uchumi tu?? Ila Mugabe angegangamala kwa kurusha risasi leo hii mngeanza kulaumu wazungu kwa kuiharibu Zimbabwe kama Libya.

Kama great thinkers hatuwezi ona hili tofauti basi JF ifungiwe tu
 
Kwahiyo anachokisema USA unaamini? Angalia matukio mengi aliyoyafanya duniani kwa kuidanganya dunia. Hiyo barua ukiiangalia kiundani ni copy paste. Yaani wamechukua barua ambayo washaandikiaga watu na kuedit jina la makonda tu. Swala hapo ni la ushoga tu hakuna kitu kingine. Nasikitika sana kuona waafrika wanawaamini sana USA katika kila jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kama USA ni wabaya kwanini mnachukua mikopo yao au hujui hyo World bank nani kaanzisha!!!

Acheni unafiki kama ni wabaya basi muache kuwaombaomba misaada lasihivyo msilielie wakiwabania.
 
We are deeply concerned. Haya, kazi ipo kweli kweli. Maisha ya mamilioni ya watu yanateketea huko Asia,chanzo wakiwa wao,na huko, watasema we are deeply concerned. Kila kitu,popote we are deeply concerned. Haya, huko China kwenye Corona mbona hawajawa concerned? Ndo maana naipenda sana Iran. Ukoloni wao unapaswa uwe na kikomo. Wapo walio tayari kunufaika na mali za Afrika,lakini si kwa upuuzi. Mzazi umezaa,umesomesha,af mwishowe unaambiwa litoto lako Shoga. Hii inaingia akilini kweli? Au wanachoitaji tuendelee kuonekana wapumbavu wasio na akili. Bahati mbaya wengi wetu hatujatambua kuwa wenzetu hawa wanafanya plans za miaka 100 ijayo,kwa ajili ya watoto wao. Hivyo,haya yote yatawakuta wajukuu zetu
Ila wabongo mmezidi unafiki sana kama mnapinga ushoga muache kuangalia premier league maana inasupport ushoga ndio maana wanavaa armband ya Gaypride flag. Biblia zote za king james zimetafsiriwa na kuandikwa ma James 1 ambaye alikuwa shoga kabisa. Biblia za tafsiri ya NIV ambazo ndio zinasomwa zaidi duniani zinachapishwa na Harper-Collins inayomilikiwa na wanaosupport ushoga zondervan. Kwahiyo ukipinga ushoga usiguse google,Usisome bible wala usiangalie mpira.

Hizi hoja za ushoga mnakera sana kila kitu mnakimbilia ushoga!! Mmeambiwa demokrasia mmeia mnakimbilia ushoga!! Reasoning za watanzania zinatisha sana
 
Hili ni suala la kujiuliza sana, haiwezekani Kijana mdogo tu anatuhumiwa kwa tuhuma nzito. Kunyima watu uhuru wa kuishi maana yake ni kupoteza maisha ya watu, Je ameshapoteza maisha ya kina nani na yeye ni nani hasa hadi apotezee watu maisha?

Tunasubiri siku moja hawa wazungu watuwekee ushahidi ili tumfahamu vizuri Makonda na tuanze kutafutana.Wathibitishe ili tujue kweli ni lini Bashite kawa Israel wa kunyima watu uhuru wa kuishi, ili tujue hayo mamlaka anayatoa wapi.

Huu ni mwanzo mzuri na ushahidi huu ufikishwe The Hague. USA hawawezi kutufanyia sisi propaganda kwani ni yetu ni ndogo sana. Hawa jamaa washajikusanyia ushahidi wa kutosha, kufikia kumyima mtu kibali cha kukanyaga kwao basi tufahamu kua huyu mtu ni hatari kwa taifa.

Mkuu kumbuka Makonda kuhusishwa na uongozi wa Wasiojulikana limesemwa siku nyingi kabla ya Marekani kumtuhumu kunyima watu haki ya kuishi. Watu walsma kwamba ukuu wa mkoa ni kivuli tu na ndio maana hata bajeti yake ilikuwa kubwa kuliko kawaida ya wakuu wa mikoa. Ana magari ya ofisi ambayo sio standard issue ya wakuu wa mikoa. Ukaribu wake na Magufuli hata ukafanya watu watilie shaka kulikoni. Ndipo tetesi zikaanza kuwa alikuwa amepewa kazi maalum na Magufuli chini ya ukuu wa mkoa wa Dar na ndio maana hata atuhumiwe vipi asingendoka.

KUmbuka pia Lisu alisistiza sana kuwa siku ya jaribio la kuuwawa kwake Makonda alikuwa Dodoma katika mazingira ambayo ilikuwa ni ajabu sana yeye kuwa Dodoma.

Hawa USA wanaanza kufunua mambo taratibu. Kama serikali ina ubavu basi wawa challenge USA kutoa ushahidi kuwa Makonda kaua watu. Sidhani kama utasikia serikali ikihoji hapo, kwa kuwa ukweli ni kwamba kama Makonda aliua aina ya watu tunaofahamu kuuwawa na wasiojulikana, basi alitumwa. Unafikiri alitumwa na nani?
 
Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Magu au Bashiye akipora ni sawa?
 
Kwenye statement ushoga upo na hata gazeti la New York Post wameandika! Kuhusu kwenye uhalifu dhidi ya binadamu mbona Makonda siyo mtendaji wa vyombo vya usalama wala hana mamlaka ya maamuzi?
Upo Tanzania? Unafikiri ubavu wa kuamrisha FFU anaupata kwa ukuu wa mkoa? Unakumbuka suala la Nape? Na Makonda kuwa Dodoma kwa kushangaza siku ya jaribio la kumuua Lisu? Na kwa nini panga pangua na vyeti fake bado mliambiwa haondoki Dar? Mahela anayopata ya ofisi na kugawa unafikiri ndio bajeti ya Wakuu wa mikoa? Ulishaenda ofisi ya Makonda ukaona ilivyo? Unganisha doti.
 
Kabudi ana intellectual arrogance kwamba yeye ni msomi mkubwa sana kuzidi counterparts wake. Kwa hiyo badala ya kwenda na tone za diplomacy yeye anakuwa arrogant.
Hajui kwamba diplomacy ina norms zake, ina posture zake, ina tones zake, ina maneno yake, ina protocols zake.

Kabudi yuko obsessed na KUWIN ARGUMENTS badala ya KUSHAWISHI
 
Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Hivi kuzuia madawa ya kulevya kwa nguvu zote ndio unakotafsiri kuwanyima watu haki ya kuishi? Yaani kwa busara zako unaona USA watakukatalia visa kwenda kwao kwa kuwa unaongooza vita dhidi ya madawa ya kulevya? Au kukataza ushoga ni kumnyima mtu haki ya kuishi?

Hivi watu mna uziwi wa kiasi gani?
 
1580571586680.jpeg
 
Kwenye statement ushoga upo na hata gazeti la New York Post wameandika! Kuhusu kwenye uhalifu dhidi ya binadamu mbona Makonda siyo mtendaji wa vyombo vya usalama wala hana mamlaka ya maamuzi?

Hukuona jinsi alivyovamia clouds na mtutu wa bunduki?Issue ni abuse of power,hatujui mengine ni yapi ambayo USA wana ushahidi nayo!Huenda wamenasa hata walioorganize shambulio la Lissu au watu wengine!
 
Back
Top Bottom