gm man
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,177
- 1,455
Kila nikiangalia sioni mahali waliposema kawa banned kisa ushoga... SioniiiiiiiiBBC ambalo ni shirika la utangazaji la Uingereza limeweka wazi kuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam amezuiwa kuingia Marekani kwa sababu ya juhudi zake za kupambana na ushoga nchini Tanzania.
Ikumbukwe Mara baada ya Paul kuanzisha vita ya madawa ya kulevya na ushoga alianza kushambuliwa na kupokea vitisho kutoka kwa chadema na mabeberu kutoka kote duniani.View attachment 1343649
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app