Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

BBC ambalo ni shirika la utangazaji la Uingereza limeweka wazi kuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam amezuiwa kuingia Marekani kwa sababu ya juhudi zake za kupambana na ushoga nchini Tanzania.

Ikumbukwe Mara baada ya Paul kuanzisha vita ya madawa ya kulevya na ushoga alianza kushambuliwa na kupokea vitisho kutoka kwa chadema na mabeberu kutoka kote duniani.View attachment 1343649

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikiangalia sioni mahali waliposema kawa banned kisa ushoga... Sioniiiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM mnajua kutufunga magoli, ndiyo maana mnatupa bora elimu bure ili tuzidi kudumaa. Pompeo ameandika wazi kuwa Paul Makonda anazuia haki ya binadamu kuishi.

Huo ushoga mbona Museveni na Uhuru Kenyatta wanaupinga lakinihawajapigwa pini ya kwenda duniani. Tunashukuru agile zadini kutufundisha this is apple tumeweza kumuelewa Pompeo.

Kama ungekuwa na akili kama unavyojitapa Mkuu wa Mkoa wa Dar anahusika nini na upinzani? Kama swala lingekuwa ,, kuminya” upinzani kama mnavyotulazimisha kuamini kwa nini asiwe Waziri wa mambo ya ndani, Mkuu wa Polisi au hata Kiongozi yoyote yule Mkuu wa nchi? Huko Mikoani kote Tanzania Makonda anahusika?
 
Hahaha mkuu hao watu ni vilaza wa kutupwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BBC ambalo ni shirika la utangazaji la Uingereza limeweka wazi kuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam amezuiwa kuingia Marekani kwa sababu ya juhudi zake za kupambana na ushoga nchini Tanzania.

Ikumbukwe Mara baada ya Paul kuanzisha vita ya madawa ya kulevya na ushoga alianza kushambuliwa na kupokea vitisho kutoka kwa chadema na mabeberu kutoka kote duniani.View attachment 1343649

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili mkuu lipo wazi ni wapuuzi ndio wanajifanya hajui hili. Hawajataka kuweka wazi wamarekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani wana uchaguzi mwaka huu wanatafuta jinsi ya kupata kura. alijaribu Iran, Iran wakajibu mapigo akakosa points, sasa anatafuta kwa tu nchi kama Tanzania. aliahidi kujenga ukuta hajajenga ukuta wa mexico, aliahadi kurudisha wahamiaji hajarudisha hata mmoja. Sasa anatafuta point za mezani. Tanzania watulie tu wasikilizie wasijibizane nao, hawa wanatafuta ili mjibizane nao watupige vizuri. Kama anataka points nyingi arudi akawachokoze Iran tena.
 
Hizi ni tuhuma tu pia nasisitiza ni tetesi.

Inaelezwa kuwa ndugu Ben Saanane alitekwa siku za mwanzo wa wiki na baadaye mwisho wa wiki (Jumamosi) mauaji yake yalifanyika. Hii ni baada ya yeye kuwekwa kizuizi cha mateso takribani siku nne baada ya kutekwa.

Zipo tuhuma kuwa mipango yote ilifanyika kwenye jengo moja la biashara ndogo maeneo ya Mikocheni na Ben alizikwa kwenye maeneo maalum yaliyotengwa ya kuzikia watu ndani ya jiji la Dar es Salaaam.

Ipo siku ushahidi kamili utatolewa dhidi ya tukio hili la kihuni na fedheha.
 
BBC ambalo ni shirika la utangazaji la Uingereza limeweka wazi kuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam amezuiwa kuingia Marekani kwa sababu ya juhudi zake za kupambana na ushoga nchini Tanzania.

Ikumbukwe Mara baada ya Paul kuanzisha vita ya madawa ya kulevya na ushoga alianza kushambuliwa na kupokea vitisho kutoka kwa chadema na mabeberu kutoka kote duniani.View attachment 1343649

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kiazi sana....unapoteza tu muda taarifa kamili ipo na tumeiona na kuisoma vizuri.....kaa na mambo yako ya BBC...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo B.Saanane ameshakufa? Wapi imethibitishwa na amezikwa wapi? Isijekuwa Marangu mmetoa kafara Mrombo wa watu na kumsingizia Makonda!
 
Mnapotoa hizo tetesi mjitahidi kuwa consistent. Mara Mikocheni. Mara boti ilionekana inaelekea kisiwani. Mara simu yake mara ya mwisho mtandao ulionekana wa Tabata. Ipo siku mtaitaja Ufipa tu!
 
Back
Top Bottom