Paul Makonda kuitetemesha na kuitikisa mikoa kumi mfululizo bila kupumzika

Ndugu zangu Watanzania,

Ukiachana na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Mama Samia ambaye nchi hii ameizunguka yote kama ilivyo mwaka 2015 na hata 2020, kuna mwamba mwingine aliyekuja na kuinuliwa katika namna ya kipekee sana .

Paul Makonda ni Mwamba kwelikweli, Ni jemedari na komandoo wa vita ya kumtetea mtanzania mnyonge. Amejaliwa uwezo ,stamina na nguvu isiyo ya kawaida katika hali ya kibinadamu.

Siyo jambo jepesi wala dogo kwa mtu wa kawaida asiye na misuli ya uvumilivu,uzalendo na upendo kwa watu ,anayeweza kufanya ziara katika mikoa 20 mfululizo bila kupumzika hata siku moja katika kutega masikio kwa unyenyekevu mkubwa kuwasikiliza Watanzania wanyonge.

Hii ni rekodi ,hii ni historia aliyojiandikia kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara Paul Christian Makonda katika ardhi ya Tanzania .amezungumza na Anaendelea kuzungumza kwa ujasiri wa hali ya juu sana ,katika kuwasemea watanzania wanyonge wasio na sauti mpaka wakati mwingine sauti inakuwa ni kama inaisha.

Amesikiliza kila aina ya kero ,kila aina ya sauti,kila aina ya kilio.amejionea maumivu ,machungu ambayo baadhi ya watu wameyabeba katika vifua vyao ,ambapo wakianza kueleza madhira yanayowasibu wanaishia kububujikwa na machozi ya uchungu kabla ya kufika mwisho. amesikiliza vilio vya watu waliodhulumiwa ardhi,walionyimwa haki zao ,waliopokonywa ardhi zao na wenye pesa,waliotekwa, walioporwa mali zao kwa uonevu.

Amesikiliza kwa uchungu sauti za wajane,sauti za wenye ulemavu,sauti za wazee,sauti za yatima zote kwa pamoja amezisikia katika masikio yake .amesikiliza Sauti za watanzania wa aina zote.

wakati mwingine hata yeye uchungu umemshika na kumuelemea moyoni mwake pale anaposikiliza kero na mapito ya watu. Kwa hakika ukifuatilia na kusikiliza yale yanayokuwa yanajitokeza huko unabaki unasema kwanini watu wengine hawana moyo wa huruma kwa watu? Kwanini mtu huyu ametendewa hivi?

Paul Makonda ni kioo kinachomulika na kuonyesha mengi sana huko mikoani na wilayani. Kwa hakika ziara za Mheshimiwa Makonda zitamsaidia sana Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan kujuwa na kupata taswira ya utendaji kazi wa viongozi waliopo huko.

Afanyayo Mheshimiwa Makonda siyo jambo analoweza kila mtu na kila kiongozi. wengi wameshindwa na kukaa maofisini tu wakijizungusha kwenye viti. wakati watu hao wamepewa magari ya serikali,mafuta full tanki,dereva na kila kitu ,lakini huwezi ukaona wakitoka maofisini mwao kwenda kusikiliza kero za wananchi na kuwapa majibu.

unakuta mtu yupo ofisini mwaka hadi mwaka na hajawahi kwenda kwa wananchi kuwasikiliza kero zao.ndio maana kuna kuwa na mabango mengi kutoka kwa wananchi kueleza kero zao pale viongozi wakuu kitaifa wanapofanya ziara katika maeneo hayo.Kana kwamba maeneo hayo hayana viongozi au wote wapo rikizo makwao.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Anakusanya posho tu kutoka CCM, na huko anakoenda anapewa hela tena.

Yaani wananchi wanampa kero mtu ambaye alikuwa kero ya taifa. Wanachukua takataka wanaenda kuzitupa jalalani
 
akamatie apaapo wemeanza kuomba pooo....
 
Anakusanya posho tu kutoka CCM, na huko anakoenda anapewa hela tena.

Yaani wananchi wanampa kero mtu ambaye alikuwa kero ya taifa. Wanachukua takataka wanaenda kuzitupa jalalani
Wewe utakufa mwaka huu na wivu wako na chuki zako binafsi kwa Mheshimiwa Makonda. Kila mtanzania anajionea namna Mheshimiwa Makonda kazi kubwa anazofanya za kusikiliza wananchi na kutatua kero zao papo kwa papo.
 
Ila kazi ya uchawa ni ngumu mno aisee Mm nngechoka Labla kama kuna malipo
 
Cha msingi Mkono uende kinywani maana Tumbo halijali chakula kimepatikana kwa njia gani ili mradi lijazwe lisilalamike.

Ila mkuu umeshapata hata calls mbili tatu za hao wahusika au ndio unapambana hadi wakuone maana kwa sifa unazotoa, hata mimi ningekuwa Makonda, lazma lazma ningekupa push mjini maana anaelewa hustle ya kuingia kwenye system
 
Tuwe na moyo na utamaduni wa kuwatia moyo na kuwapongeza viongozi na watu wanaofanya kazi vizuri katika kututumikia watanzania.maana wachapa kazi aina ya Mh Makonda ni wachache sana .hivyo hawa wachache hatuna budi kuwaunga mkono.
 
Wewe utakufa mwaka huu na wivu wako na chuki zako binafsi kwa Mheshimiwa Makonda. Kila mtanzania anajionea namna Mheshimiwa Makonda kazi kubwa anazofanya za kusikiliza wananchi na kutatua kero zao papo kwa papo.
Huyo ni sawa na kopo lililobeba sumu, kwa nje lina rangi nzuri ya kuvutia, au nyoka mwenye ngozi nyororo, nzuri, ndani amejaa sumu
 
Inafahamika na kujulikana wazi kuwa wewe una chuki binafsi na Mheshimiwa Makonda.kwa hiyo huoni zuri wala kazi njema kutoka kwake.maana ulishajipa ukipofu wa akili na macho.
 
Weka ushahidi acha kuchafua watu hapa wewe. Marekani siyo Mungu.hao hao Marekani ndio walimuua Saddam Husseni kwa kisingizio kiwa anamiliki silaha za nyukilia.je uliziona au kuonyeshwa silaha hizo? Marekani waliuonyesha ulimwengu shehena ya silaha hizo? Vipi kuhusu muamari Gadaffi si hao hao walimuua kwa visingizio vya uongo baada ya kuona maono yake yanahatarisha maslahi yao na uwepo wao katika bara la Afrika? Hujawahi kusikia hata Barack Obama akikili Hadharani kuwa walifanya makosa kumuua Gadaffi? Sasa unaanzia wapi kuwaona kama miungu watu na kuwaamini kwa kila kitu? Za kuambiwa changanya na za kwako ndugu yangu.usiwe na akili kama kasuku au nyumbu.
Sio yeye katumwa na Chadema chama cha Matapeli.
 
Back
Top Bottom