Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

Ikikupendeza Rais tunaomba mrudishe tulio wengi tunamhitaji sana... Kwasababu yupo aje atumike. Kama alikukosea samehe ili na wewe usamehewe.
 
Unawasilisha lakini hauwakilishi wakazi wa Dar.
Tunauziwa simu feki, nani kasababisha kama siyo Makonda.
 
He was good in front of camera hasa za clouds back stage ni Bashite tu!
 
Kweli kabisa.kipindi hicho awamu yote ilikuwa ni nzuri tofauti na ya sasa inayofanya mambo ya hovyo haijawahi tokea toka tupate uhuru
 
Najua alidhibiti panya road.

Alidhibiti wavuta unga.

Alidhibiti matapeli wa viwanja na majumba.

Alidhibiti matapeli wa Chadema.

Sasa habari ya kodi ya magari anahusika vipi kwa raia?
πŸ‘‡
 
Kwani nani asiejua kuwa lemtuz alikuwa ni mshikaji wa karibu wa bashite?πŸ€”......na kama ni dhurma ya mali za watu bashite amefanya sana kwa kichaka cha ukuu wa mkoa.......na kwa taarifa yako wapo hata wana ccm wasiomuelewa na wanaomponda bashite.......
 
Nimeona ameweka content kavideo kidg kuwananga wanna ccm na CDM nzuri Sana mcheki ujione mwenywe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Najua alidhibiti panya road.

Alidhibiti wavuta unga.

Alidhibiti matapeli wa viwanja na majumba.

Alidhibiti matapeli wa Chadema.

Sasa habari ya kodi ya magari anahusika vipi kwa raia?
[emoji116]View attachment 2379852
Tapeli mama yako mpumbavu mmoja wewe. Unaihusishaje Chadema kwenye upuuzi wa huyo nyamitako wako?
 
Lemutu akiamua kutoa "yusuph" hapo mahakamani, mahakama lazima ifungwe siku mbili na famigation juu plus perfumes. Hilo tumbo no zaidi ya mradi wa gesi ya songas

Hao wote ni vibaka wa awamu ya 5
 
Najua alidhibiti panya road.

Alidhibiti wavuta unga.

Alidhibiti matapeli wa viwanja na majumba.

Alidhibiti matapeli wa Chadema.

Sasa habari ya kodi ya magari anahusika vipi kwa raia?
πŸ‘‡View attachment 2379852
wewe unayesema wasipoteze muda kufatilia hilo kwahiyo unataka wapoteze muda kukufatilia wewe unayejifanya mtetezi wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…