Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama tunajua na kutambua madhaifu ya Makonda ambayo hatuitaji kuelezea hapa.
Ila Mama kwa hali ya sasa ya hapa DSM mazuri yake yamezidi mara elfu ya madhaifu yake, hivyo tunamhitaji tena katika hali ya dharura Mama yetu mpendwa sana.
Makonda ni kiongozi jasiri, mchukua maamuzi tena ya haraka hata kama atakosea na mwenye kauli isiyoyumbayumba kwa wakati sahihi.
Mama huyu Mzee haliwezi Jiji hili la Dar, ona hawa Panya Road walivyomprove wrong leo huko Mbagala.. ingekuwa ni Makonda ametoa lile tamko nakuhakikishia Mama yetu wasingejaribu tena kufanya uvamizi huo.
Mama ni mwenye huruma kwa wanae na husikiliza kilio Chao. Basi tunakuomba turudishie Makonda huyu Mzee mtafutie kazi nyingine au Mkoa wa size yake Mama yetu the super Mamy!
Nawasilisha
Wewe ndiyo Bashite mwenyewe ambaye unatumia hiyo ID ya Idugunde nini?Najua alidhibiti panya road.
Alidhibiti wavuta unga.
Alidhibiti matapeli wa viwanja na majumba.
Alidhibiti matapeli wa Chadema.
Sasa habari ya kodi ya magari anahusila vipi kwa raia?
[emoji116]View attachment 2379852
Acha hisiaWewe ndiyo Bashite mwenyewe ambaye unatumia hiyo ID ya Idugunde nini?
Acha mahakama iamueNajua alidhibiti panya road.
Alidhibiti wavuta unga.
Alidhibiti matapeli wa viwanja na majumba.
Alidhibiti matapeli wa Chadema.
Sasa habari ya kodi ya magari anahusila vipi kwa raia?
[emoji116]View attachment 2379852
Unajitoa fahamu?Chadema imehusikaje kweye kesi hii? 🤔
Tunamsubiri lemutuuuz naye ajitokeze.Wewe ndiyo Bashite mwenyewe ambaye unatumia hiyo ID ya Idugunde nini?
Tapeli mama yako mpumbavu mmoja wewe. Unaihusishaje Chadema kwenye upuuzi wa huyo nyamitako wako?Najua alidhibiti panya road.
Alidhibiti wavuta unga.
Alidhibiti matapeli wa viwanja na majumba.
Alidhibiti matapeli wa Chadema.
Sasa habari ya kodi ya magari anahusika vipi kwa raia?
[emoji116]View attachment 2379852
wewe unayesema wasipoteze muda kufatilia hilo kwahiyo unataka wapoteze muda kukufatilia wewe unayejifanya mtetezi wake?Najua alidhibiti panya road.
Alidhibiti wavuta unga.
Alidhibiti matapeli wa viwanja na majumba.
Alidhibiti matapeli wa Chadema.
Sasa habari ya kodi ya magari anahusika vipi kwa raia?
👇View attachment 2379852
Paul Makonda ni mtu mwenye upeo mdogo sana. Sema tu mambo ya ndumba ndio yanayomsaidiaNajua alidhibiti panya road.
Alidhibiti wavuta unga.
Alidhibiti matapeli wa viwanja na majumba.
Alidhibiti matapeli wa Chadema.
Sasa habari ya kodi ya magari anahusika vipi kwa raia?
👇View attachment 2379852