Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

Ikikupendeza Rais tunaomba mrudishe tulio wengi tunamhitaji sana... Kwasababu yupo aje atumike. Kama alikukosea samehe ili na wewe usamehewe.
 
Unawasilisha lakini hauwakilishi wakazi wa Dar.
Tunauziwa simu feki, nani kasababisha kama siyo Makonda.
Mama tunajua na kutambua madhaifu ya Makonda ambayo hatuitaji kuelezea hapa.

Ila Mama kwa hali ya sasa ya hapa DSM mazuri yake yamezidi mara elfu ya madhaifu yake, hivyo tunamhitaji tena katika hali ya dharura Mama yetu mpendwa sana.

Makonda ni kiongozi jasiri, mchukua maamuzi tena ya haraka hata kama atakosea na mwenye kauli isiyoyumbayumba kwa wakati sahihi.

Mama huyu Mzee haliwezi Jiji hili la Dar, ona hawa Panya Road walivyomprove wrong leo huko Mbagala.. ingekuwa ni Makonda ametoa lile tamko nakuhakikishia Mama yetu wasingejaribu tena kufanya uvamizi huo.

Mama ni mwenye huruma kwa wanae na husikiliza kilio Chao. Basi tunakuomba turudishie Makonda huyu Mzee mtafutie kazi nyingine au Mkoa wa size yake Mama yetu the super Mamy!

Nawasilisha
 
He was good in front of camera hasa za clouds back stage ni Bashite tu!
 
Kweli kabisa.kipindi hicho awamu yote ilikuwa ni nzuri tofauti na ya sasa inayofanya mambo ya hovyo haijawahi tokea toka tupate uhuru
 
Najua alidhibiti panya road.

Alidhibiti wavuta unga.

Alidhibiti matapeli wa viwanja na majumba.

Alidhibiti matapeli wa Chadema.

Sasa habari ya kodi ya magari anahusika vipi kwa raia?
👇
Screenshot_20221007-170858.jpg
 
Kwani nani asiejua kuwa lemtuz alikuwa ni mshikaji wa karibu wa bashite?🤔......na kama ni dhurma ya mali za watu bashite amefanya sana kwa kichaka cha ukuu wa mkoa.......na kwa taarifa yako wapo hata wana ccm wasiomuelewa na wanaomponda bashite.......
 
Najua alidhibiti panya road.

Alidhibiti wavuta unga.

Alidhibiti matapeli wa viwanja na majumba.

Alidhibiti matapeli wa Chadema.

Sasa habari ya kodi ya magari anahusika vipi kwa raia?
[emoji116]View attachment 2379852
Tapeli mama yako mpumbavu mmoja wewe. Unaihusishaje Chadema kwenye upuuzi wa huyo nyamitako wako?
 
Lemutu akiamua kutoa "yusuph" hapo mahakamani, mahakama lazima ifungwe siku mbili na famigation juu plus perfumes. Hilo tumbo no zaidi ya mradi wa gesi ya songas

Hao wote ni vibaka wa awamu ya 5
 
Najua alidhibiti panya road.

Alidhibiti wavuta unga.

Alidhibiti matapeli wa viwanja na majumba.

Alidhibiti matapeli wa Chadema.

Sasa habari ya kodi ya magari anahusika vipi kwa raia?
👇View attachment 2379852
wewe unayesema wasipoteze muda kufatilia hilo kwahiyo unataka wapoteze muda kukufatilia wewe unayejifanya mtetezi wake?
 
Back
Top Bottom