Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

Kama ameamua kumpeleka mahakamani ni vizuri.
Haipendezi kulalamika tu mitaani.
Na wengine ambao mnamdai makonda haki zenu mjitokeze
 
Aliyefungua kesi dhidi ya Makonda yeye ndiye aliporwa na Makonda au mtu mwingine? Kama aliporwa na mtu mwingine ambaye anamfahamu kwanini asimkamate yeye na kumfanya Makonda ndio shahidi? Mdai aliporwa wapi na alitoa taarifa kituo gani cha polisi? Huwezi kufungua kesi ya madai yenye maudhui ya jinai ambayo haijawahi kufunguliwa, kupelelezwa na wala kupelekwa mahakama yoyote!!!!

Kama mdai kashauriwa na mwanasheria basi kaingizwa mkenge hapo ndipo anaenda kukamatwa kabisa kwa kosa lake la jinai kuhusu uhalali wa gari hilo.


Kila kukicha wajizi yanawaza Makonda Makonda Makonda kwanini hashitakiwi wengine mpaka wanajitoa ufahamu kwa kutimiwa tu bila kujua wanapelekwa kwenye shiomo la giza. Chuki ni mbaya sana achaneni nazo
 
Acha promo. Mkuu wa Mkoa bora alikuwa Anthony Mtaka.
Pili, vyeti ni mfumo rasmi. Aka some. O-level.
 
Mm nasisitisha kuwa hatma ya makonda Bado haijajulikana mwisho wake ktk siasa lolote laweza kutokea na hatimae kuibuka. Shujaaa na ndipo kutakopo kuweko kilio Cha kusaga meno kwa timu msoga muda Ni kitu kizuri snaa katk siasa

Mim Bado siamini kbsa kuwa huyu mtu kisiasa kafa Ni mpka afe kbsa kbsa ndio nitakuwa na uhakika

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nakupinga.

Unasema hao panya road wangekuwa historia.
Unajua ya kwamba hao panya road walikuwepo hata kbla ya huyo unayemtaja hajawa mkuu wa mkoa na hata hadi alivyokuwa madarakani kuna nini kilifanyika kuwafanya hao kuwa historia
.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…