Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Calm down Bujibuji Simba Nyamaume . Hoja hapa ni hizi kesi uchwaraPaul Makonda ni mtu mwenye upeo mdogo sana. Sema tu mambo ya ndumba ndio yanayomsaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Calm down Bujibuji Simba Nyamaume . Hoja hapa ni hizi kesi uchwaraPaul Makonda ni mtu mwenye upeo mdogo sana. Sema tu mambo ya ndumba ndio yanayomsaidia
Stupid?wewe unayesema wasipoteze muda kufatilia hilo kwahiyo unataka wapoteze muda kukufatilia wewe unayejifanya mtetezi wake?
Aliyefungua kesi dhidi ya Makonda yeye ndiye aliporwa na Makonda au mtu mwingine? Kama aliporwa na mtu mwingine ambaye anamfahamu kwanini asimkamate yeye na kumfanya Makonda ndio shahidi? Mdai aliporwa wapi na alitoa taarifa kituo gani cha polisi? Huwezi kufungua kesi ya madai yenye maudhui ya jinai ambayo haijawahi kufunguliwa, kupelelezwa na wala kupelekwa mahakama yoyote!!!!Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi?
Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia.
Viongozi wengi wa sasa hawawajibiki ipasavyo na kwa mtizamo wangu nahisi uwenda kuna kamgomo baridi kwa mamlaka za juu ili either kufikisha ujumbe au kutokubaluana na mamlaka za juu.
Makonda mmoja alikuwa anauwezo mkubwa wa kiuongozi hasa katika jiji kubwa la dare salaam lakini ndani ya utawala huu wa awamu ya sita umemteua Makala ambaye kwa mtizamo wangu ni kiongozi dhaifu ambaye kama tungekuwa tunauwajibijaji Makala angekuwa nje aidha kwa kufukuzwa au kujiuzuru.
Kiongozi wa pili kuwajibika kutokana na ishu ya panya road bila kupepesa maneno ni waziri Masauni.Ni heri Paul Makonda arudishwe kwenye kazi kwa maana mazuri yake ni mengi kuliko madhaifu yake.Kwa maoni yangu haya wazuri mambo ya ndani hafai hata kwa dakika moja na ninadhani wizara hii ya mambo ya ndani haiwezi mpole mnooo.
Viongozi wanaohusika na uteuzi kwa mamlaka mlizokuwa nazo please liangalieni hili katika awamu hii wateule wenu hawawajibiki wengi maneno matupu huku wananchi wakiendelea kuuawa na kupata vilema na majeraha makubwa.
Nadhani ile tumbuatumbua inasaidia kuliko huu ukimya kwa hawa viongozi wabovu,lakini kwa Igp nashauri RPC na ocd wa eneo uhalifu umekithiri mwondoe atakutia DOA kwa maana sina shaka na utendaji kazi wa afande Wambura na imani yangu akipangiwa Paul Makonda either awe Rc au waziri wa mambo ya ndani atatufaa sana.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Na nguvu za baba wakati ule🥱Paul Makonda ni mtu mwenye upeo mdogo sana. Sema tu mambo ya ndumba ndio yanayomsaidia
Waliokalia kitu cha mkoa wa dar wote Makonda amewapita uongoziAisee....yani katika mamilioni ya Watanzania, huyo ndio anafaa tu?