Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Gabeji = Garbage
 
2030 kote huko, angelichukua kijiti sasa hivi ama mwakani ili kuziba ombwe la uongozi lililopo.

Tukimsubirisha hadi 2030 huenda tusifike huko kutokana na yale uliyoyaongea pamoja na kukosekana kwa usalama wa mtu mmoja mmoja.

Teka teka hii ya kipumbaf pumbaf, miaka 6 yote hiyo wewe utakuwepo, kitu gani unachokitegemea kukuhakikishia uhai wako kwa miaka mingi namna hiyo?
 
Wewe unaendeshwa na chuki huna unalowaza! Mara hakuna mzalendo masikini mimi nakuuliza Makonda kwa level ya kitanzania bado unamuita maskini!
Unataka Bakhresa awe Rais au GSM?
Afadhali niendeshwe na chuki ila nafahamu nachokisema, kuliko kuendeshwa na ujinga pamoja na udwanzi wa kulazimisha watu waamini Bashite ni mbunifu anayefaa kuwa Raisi, ilhali hata shule yake tu ni tia maji 🀣🀣🀣​
 
Vipi Mbowe na hata Rais Samia wanashule gani ambayo Makonda hana?
Uongozi sio shule tu hata Trump sio kwamba ni msomi kuliko wote USA ni karama na mvuto kwa watu
 
Vipi Mbowe na hata Rais Samia wanashule gani ambayo Makomda hana?
Uongozi sio shule tu hata Trump sio kwamba ni msomi kuliko wote USA ni karama na mvuto kwa watu
Mbowe failed both in school and politics. But atleast he's a trust fund kid who married into a rich family.

Samia has no credible certificates. She's just a hustler who happens to be at right place in a right time, and won a life lottery ticket.

Bashite failed in school, but had extraordinary talents for thuggery, pyschophancy and political parasitism (Uchawa)
. Elimu yake ni tia maji, tia maji tu.

Ni mjinga tu atajaribu kufananisha DJ Trump na Samia au Bashite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…