Paul Makonda na Mrisho Gambo wako katika vita kubwa Arusha

Paul Makonda na Mrisho Gambo wako katika vita kubwa Arusha

Hata Makonda asingekuwepo bado Gambo kupitishwa na CCM kugombea ubunge Arusha ni ngumu sana. Hakuna anayemtaka. Pia asijichanganye kabisa kumzingua Makonda kwasababu huyo naye yuko vizuri kwenye siasa za kifitina.
 
Kwahiyo Kila atakapoenda kikazi Mkoa fulani lazima agombee huko??

Maana wakati akiwa Rc DSM aligombea Kigamboni

Sasa ni Rc Arusha eti agombee Arusha Mjini?

Nadhani kama kugombea atarudi Kigamboni tena, maana tayari alishauza Sera zake Kwa Wajumbe Mwaka 2020, kwahiyo ni suala la kuwarudia tu na kuomba ridhaa tena 🙌
 
Hii ndio shida ya mitandao, kuna watu wanaweza amini huu upuuzi,

Makonda na Gambo ni ‘pete na chanda’ aita tokea Makonda kugombea ‘Arusha mjini’ kamwe: sana sana atatumia influence yake kuhakikisha Gambo anapita kura za maoni CCM na anashinda uchaguzi ikiwezekana.

Makonda na Gambo ni ndugu wa kufikia.
 
Lolote liwalo,Makonda ana akili nyingi sana.Kumbe ubashite alibambikiziwa tu.Kwa kazi anayofanya Arusha namu-endorse for President 2025,viatu vinamtosha kabisa.Ni zaidi ya Magufuli.Kijana anapiga kazi aisee,duh!Ni jewel.
Kijana unamfaa uchawa na kuwa chini ya watu urais haumfai hata kidogo
Maneno haya aongee aliyeanza kufuatilia siasa wàkati huu wa samia
Makonda hafai kuwa rais
 
Hata Makonda asingekuwepo bado Gambo kupitishwa na CCM kugombea ubunge Arusha ni ngumu sana. Hakuna anayemtaka. Pia asijichanganye kabisa kumzingua Makonda kwasababu huyo naye yuko vizuri kwenye siasa za kifitina.
Kwanii,what is politics,
Politics is the manipulation of people to gain power over them.Politicians in their arrogance, flatter, manipulate the citizenry to extract benefit from them to serve their own appetites.Their interest in the citizenry is not genuine, but rather seek to gain advantage to satisfy their own lust.That is what politics is.Infact a morally sound person cannot be a politician.So Makonda akiwa na fitina is expected of him,because that is part and parcel of politics.
 
Mafisadi ninyi hamna lolote,mnajali matumbo yenu tu,very egoistic.Wananchi kwenu si kitu kabisa.Disgusting.
Mimi siyo fisadi na sitakaa niwe fisadi kwa sababu naamini kwenye kufanya kazi na kupata kwa halali. Makonda ni fisadi mkubwa na ameshajilimbikizia mali kwa ufisadi. Anachofanya siku zote ni usanii wa kujifanya anajali shida za wananchi ambazo yeye na chama chake ndiyo wanazisababisha. Makonda amekuwa mkuu wa mkoa wa Dar kwa muda mrefu tu lakini ukiambiwa uonyeshe alichofanya hata kidogo namna gani huwezi. Kazi ya kiongozi ni kuongoza watu wasipate matatizo na siyo kusubiri watu wapate matatizo ndiyo ajifanye kuona huruma. Atadanganya wajinga kama yeye tu!
 
Kwanii,what is politics,
What is politics?Politics is the manipulation of people to gain power over them.Politicians in their arrogance, flatter, manipulate the citizenry to extract benefit from them to serve their own appetites.Their interest in the citizenry is not genuine, but rather seek to gain advantage to satisfy their own lust.That is what politics is.Infact a morally sound person cannot be a politician.So Makonda akiwa na fitina is expected of him,because that is part and parcel of politics.
Hii ni kwa mujibu wa ''politics'' za nchi za kiafrika. Infact hii siyo politics bali ni utapeli. Tembea uone. Nenda nchi za Scandinavia ndiyo utajua politics siyo utapeli kama waafrika mnavyodanganywa na viongozi wenu.
 
Heshima sana wanajamvi.

Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM.

Makonda kupitia harakati mbali mbali ikiwemo kuandaa utatuzi wa kero za kisheria hasa masuala ardhi.

Makonda kupitia sanaa ya hali ya juu kaandaa utaratibu wa kutoa matibabu na huduma za afya.

Mipango yote hii ina lengo ta kujijenga kwaajili ya uchaguzi mkuu 2025.

Wakati haya yakiendelea kambi ya Mbunge wa sasa Mrisho Gambo imeapa itapambana kufa na kupona kugakikisha Mrisho anatetea kiti cha ubunge kwa gharama zozote.

CCM kupitia kamati zake tayari wameshatuma taarifa za mtifuano huo na kushauri suluhu pekee ni kuanzisha majimbo mawili ya uchaguzi katika jiji la Arusha.

Ngongo kwasasa Kisiwani Mafia.
Niambie Mrisho Gambo katika about 10 Years amefanya nini kuzidi makubwa aliyofanya Makonda katika miezi isiyozid 10?
 
Kijana unamfaa uchawa na kuwa chini ya watu urais haumfai hata kidogo
Maneno haya aongee aliyeanza kufuatilia siasa wàkati huu wa samia
Makonda hafai kuwa rais
Yote yaliyosemwa kuhusu Makonda huko nyuma ilikuwa chuki binafsi mkuu.Sidhani kama kihiyo anaweza kufanya anayofanya Makonda.And after all viongozi wake wamemuona ana kitu,ndio maana wanampa responsible positions.Ninyi mlio mbali naye mtamjuaje?Halafuu, popote wanapomuweka he delivers.Ubashite alibambikiziwa na maadui zake waliokutana na joto yake ya jiwe.Napenda anavyojali maslahi ya wananchi na anavyo- confront mafisadi head-on.Hivyo ndivyo kiongozi anavyopaswa kufanya.
 
Heshima sana wanajamvi.

Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM.

Makonda kupitia harakati mbali mbali ikiwemo kuandaa utatuzi wa kero za kisheria hasa masuala ardhi.

Makonda kupitia sanaa ya hali ya juu kaandaa utaratibu wa kutoa matibabu na huduma za afya.

Mipango yote hii ina lengo ta kujijenga kwaajili ya uchaguzi mkuu 2025.

Wakati haya yakiendelea kambi ya Mbunge wa sasa Mrisho Gambo imeapa itapambana kufa na kupona kugakikisha Mrisho anatetea kiti cha ubunge kwa gharama zozote.

CCM kupitia kamati zake tayari wameshatuma taarifa za mtifuano huo na kushauri suluhu pekee ni kuanzisha majimbo mawili ya uchaguzi katika jiji la Arusha.

Ngongo kwasasa Kisiwani Mafia.
Jimbo la Arusha mjini ni la lema
 
Mimi siyo fisadi na sitakaa niwe fisadi kwa sababu naamini kwenye kufanya kazi na kupata kwa halali. Makonda ni fisadi mkubwa na ameshajilimbikizia mali kwa ufisadi. Anachofanya siku zote ni usanii wa kujifanya anajali shida za wananchi ambazo yeye na chama chake ndiyo wanazisababisha. Makonda amekuwa mkuu wa mkoa wa Dar kwa muda mrefu tu lakini ukiambiwa uonyeshe alichofanya hata kidogo namna gani huwezi. Kazi ya kiongozi ni kuongoza watu wasipate matatizo na siyo kusubiri watu wapate matatizo ndiyo ajifanye kuona huruma. Atadanganya wajinga kama yeye tu!
Nimekuelewa sana Mkuu, Yaani CCM inajifanya inatatua matatizo ya Wananchi wakati yenyewe ndio imeyasababisha? 😂 😂 😂
 
LEMA ndie mbunge wa ARUSHA MAJI waache wavhaniane mashati hawana mazala hata kidogo hao viroboto wadogo wadogo.
Mkiongea hivi huwa nawashangaa sana
Ilikuwaje 2020 hakuwa mbunge?
Unadhani Ccm wamepungua nini na Lema kaongezeka nini kwa sasa
Nafasi waliokuwa nayo upinzani ni kudai katiba kwa nguvu zote, Hilo limewashinda wasitegemee huruma ya ccm, ccm hawana huruma nao kabisa
Chadema na upinzani kwa ujumla wandelee tu kupanda majukwaa na kuwasimulia raia habari za kusisimua za hii nchi na kuwatapeli hakuna cha zaidi wanachoweza kufanya
Suala la kurudi bungeni walisahau
 
Yote yaliyosemwa kuhusu Makonda huko nyuma ilikuwa chuki binafsi mkuu.Sidhani kama kihiyo anaweza kufanya anayofanya Makonda.And after all viongozi wake wamemuona ana kitu,ndio maana wanampa responsible positions.Na popote wanapomuweka he delivers.Ubashite alipewa na maadui zake waliokutana na joto yake ya jiwe.Napenda anavyojali maslahi ya wananchi na anavyo- confront mafisadi head-on.
Yuko vizuri sana tu anafanya kazi lakini ana madhaifu yake mengine tu ambayo ukimuangalia kibinadamu hafai hiyo nafasi ya urais kweli kabisa
 
Mimi siyo fisadi na sitakaa niwe fisadi kwa sababu naamini kwenye kufanya kazi na kupata kwa halali. Makonda ni fisadi mkubwa na ameshajilimbikizia mali kwa ufisadi. Anachofanya siku zote ni usanii wa kujifanya anajali shida za wananchi ambazo yeye na chama chake ndiyo wanazisababisha. Makonda amekuwa mkuu wa mkoa wa Dar kwa muda mrefu tu lakini ukiambiwa uonyeshe alichofanya hata kidogo namna gani huwezi. Kazi ya kiongozi ni kuongoza watu wasipate matatizo na siyo kusubiri watu wapate matatizo ndiyo ajifanye kuona huruma. Atadanganya wajinga kama yeye tu!
Naamini hiyo mali unayosema kajilimbikizia hujawahi kuiona,umesikia tu kutoka kwa wahasimu wake wakimsingizia.Halafu nikukumbushe kwamba kiongozi yeyote hawezi kushuhulikia matatizo bila kupewa nafasi.Makonda wakati wowote alipopewa nafasi he cared for the ordinary people.Alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam aliwachachafya mafisadi na wauza ngada;his brief period in CCM kama Katibu Mwenyezi he did the same;sasa in Arusha he is doing the same.Ana consistence ya wazi.He needs our support,tusimkatishe tamaa.Mimi naamini any negative talk about him ni mipango ya mafisadi ya kumkatisha tamaa,but I believe he will endure.
 
Back
Top Bottom