Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Rais wa nchi sifa yake muhimu ni kujali na kuwapenda wananchi anao waongoza,Makonda consistently ameonyesha ana sifa hiyo.Sifa hii ikiwepo Kwa kiongozi wa nchi itamsukuma kufanya wonders.Yuko vizuri sana tu anafanya kazi lakini ana madhaifu yake mengine tu ambayo ukimuangalia kibinadamu hafai hiyo nafasi ya urais kweli kabisa