Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faustine SI anapigiwa chapuo huko WHO?? Akiondoka Paul APEWE Ile kigamboniHeshima sana wanajamvi.
Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM.
Makonda kupitia harakati mbali mbali ikiwemo kuandaa utatuzi wa kero za kisheria hasa masuala ardhi.
Makonda kupitia sanaa ya hali ya juu kaandaa utaratibu wa kutoa matibabu na huduma za afya.
Mipango yote hii ina lengo ta kujijenga kwaajili ya uchaguzi mkuu 2025.
Wakati haya yakiendelea kambi ya Mbunge wa sasa Mrisho Gambo imeapa itapambana kufa na kupona kugakikisha Mrisho anatetea kiti cha ubunge kwa gharama zozote.
CCM kupitia kamati zake tayari wameshatuma taarifa za mtifuano huo na kushauri suluhu pekee ni kuanzisha majimbo mawili ya uchaguzi katika jiji la Arusha.
Ngongo kwasasa Kisiwani Mafia.
Kichwani kwako upo vzr kweli wewe? uwe unawaza kwa kutumia kichwa kabla ya kuandika!Lolote liwalo,Makonda ana akili nyingi sana.Kumbe ubashite alibambikiziwa tu.Kwa kazi anayofanya Arusha namu-endorse for President 2025,viatu vinamtosha kabisa.Ni zaidi ya Magufuli.Kijana anapiga kazi aisee,duh!Ni jewel.
Kigamboni anapotezwa kama alivyopotezwaKwahiyo Kila atakapoenda kikazi Mkoa fulani lazima agombee huko??
Maana wakati akiwa Rc DSM aligombea Kigamboni
Sasa ni Rc Arusha eti agombee Arusha Mjini?
Nadhani kama kugombea atarudi Kigamboni tena, maana tayari alishauza Sera zake Kwa Wajumbe Mwaka 2020, kwahiyo ni suala la kuwarudia tu na kuomba ridhaa tena 🙌
Kule alishapoteza umaarufu labda huko ArushaKigamboni anapotezwa kama alivyopotezwa
Sure Mwanza Wanampa mapema tuMakonda kama ana taka ubunge inabidi aende Nyamagana au ilemela. Chapu tu ana beba
Hata kule habebi... Lile domo linaongea shombo sana behind the scenesMakonda kama ana taka ubunge inabidi aende Nyamagana au ilemela. Chapu tu ana beba
Nyamagana asijaribu kabisaMakonda kama ana taka ubunge inabidi aende Nyamagana au ilemela. Chapu tu ana beba
Talk comes so easy!Lolote liwalo,Makonda ana akili nyingi sana.Kumbe ubashite alibambikiziwa tu.Kwa kazi anayofanya Arusha namu-endorse for President 2025,viatu vinamtosha kabisa.Ni zaidi ya Magufuli.Kijana anapiga kazi aisee,duh!Ni jewel.
Ukichaa mkubwa huu, yaani yaanzishwe majimbo mawili kwa maslahi ya watu wawili badala ya kutazama maslahi ya watu zaidi ya milioni wa ArushaMipango yote hii ina lengo ta kujijenga kwaajili ya uchaguzi mkuu 2025.
Wakati haya yakiendelea kambi ya Mbunge wa sasa Mrisho Gambo imeapa itapambana kufa na kupona kugakikisha Mrisho anatetea kiti cha ubunge kwa gharama zozote.
CCM kupitia kamati zake tayari wameshatuma taarifa za mtifuano huo na kushauri suluhu pekee ni kuanzisha majimbo mawili ya uchaguzi katika jiji la Arusha.
Kwahiyo Kila kwenye mtifuano ni kuongeza majimbo mbona walala hoi kodi zao zinachezewa hivi jamani ?Heshima sana wanajamvi.
Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM.
Makonda kupitia harakati mbali mbali ikiwemo kuandaa utatuzi wa kero za kisheria hasa masuala ardhi.
Makonda kupitia sanaa ya hali ya juu kaandaa utaratibu wa kutoa matibabu na huduma za afya.
Mipango yote hii ina lengo ta kujijenga kwaajili ya uchaguzi mkuu 2025.
Wakati haya yakiendelea kambi ya Mbunge wa sasa Mrisho Gambo imeapa itapambana kufa na kupona kugakikisha Mrisho anatetea kiti cha ubunge kwa gharama zozote.
CCM kupitia kamati zake tayari wameshatuma taarifa za mtifuano huo na kushauri suluhu pekee ni kuanzisha majimbo mawili ya uchaguzi katika jiji la Arusha.
Ngongo kwasasa Kisiwani Mafia.
Makonda amekuprove wrong janaHii ndio shida ya mitandao, kuna watu wanaweza amini huu upuuzi,
Makonda na Gambo ni ‘pete na chanda’ aita tokea Makonda kugombea ‘Arusha mjini’ kamwe: sana sana atatumia influence yake kuhakikisha Gambo anapita kura za maoni CCM na anashinda uchaguzi ikiwezekana.
Makonda na Gambo ni ndugu wa kufikia.