Paul Makonda na Mrisho Gambo wako katika vita kubwa Arusha

Yuko vizuri sana tu anafanya kazi lakini ana madhaifu yake mengine tu ambayo ukimuangalia kibinadamu hafai hiyo nafasi ya urais kweli kabisa
Rais wa nchi sifa yake muhimu ni kujali na kuwapenda wananchi anao waongoza,Makonda consistently ameonyesha ana sifa hiyo.Sifa hii ikiwepo Kwa kiongozi wa nchi itamsukuma kufanya wonders.
 
Gambo viatu havimtoshi,Arusha ni kubwa sana kwake
Makonda apewe Jimbo kaonesha ana uwezo
 
That’s where this country is at its best. Gutter politics AKA siasa za majitaka. Huo uchafu tunauweza sana.

Yani majimbo yanaanzishwa mawili kwa sababu za kisiasa na wala siyo kimaendeleo!

Na wakati wabunge wenyewe waliopo ni mzigo kwa Taifa! Bali tunatafuta sababu za kijinga kuwaongezea watanzania mizigo badala ya maendeleo.
 
Jimbo la Arusha mjini ni la lema
Lema?Tunataka kazi,sio bla bla majukwaani.Makonda kwa mara nyingine tena ameonyesha anaweza.Wananchi wa Arusha Mjini wakimchagua Lema au mwingine yeyote isipokuwa Makonda watakuwa wajinga sana.Hatuendi kwa vyama, output is what matters.
 
You have a calling in BROKEN ENGLISH
 
Lema?Tunataka kazi,sio bla bla majukwaani.Makonda kwa mara nyingine tena ameonyesha anaweza.Wananchi wa Arusha Mjini wakimchagua Lema au mwingine yeyote isipokuwa Makonda watakuwa wajinga sana.Hatuendi kwa vyama, output is what matters.
Unabisha na mwana wa Mungu sio! Hutaki acha , huo ndo ujumbe nimekupa ni haki yako kukubaliana au kutokubaliana,tunza hii
 
Gambo hamuwezi Makonda,hivyo tu
 
Lema?Tunataka kazi,sio bla bla majukwaani.Makonda kwa mara nyingine tena ameonyesha anaweza.Wananchi wa Arusha Mjini wakimchagua Lema au mwingine yeyote isipokuwa Makonda watakuwa wajinga sana.Hatuendi kwa vyama, output is what matters.
Kwa mara ya mwisho Mungu amemkataa Makonda ,sasa niulize kwa nini? Vipo vipengele 8 anatakiwa vikamisha ili Mungu ambariki ,na sivitaji hapa ila anitafute na simlazimishi ila vipengele viwili hawezi timiza
 
Mungu alimkataa Makonda wapi?Watu kwa uovu wenu mnamkandia na kumsingizia mambo lukuki bila ushahidi wowote, halafu mnasema Mungu kamkataa,unafiki mtupu.Wewe yote unayojifanya unayajua kuhusu Makonda umesikia tu mitaani,wala huna ushahidi wowote,acheni ujinga.
 
Acha ujinga!
 
Ndugu katubu ndani ya siku 47 ,vinginevyo Mungu atashughulika na wewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…