Paul Makonda na Mrisho Gambo wako katika vita kubwa Arusha

Gambo anaharibu na kuliwa pesa zake tu hata raia wapo wazi japo aambiwi ukweli hamna kitu.
 
Faustine SI anapigiwa chapuo huko WHO?? Akiondoka Paul APEWE Ile kigamboni
 
Lolote liwalo,Makonda ana akili nyingi sana.Kumbe ubashite alibambikiziwa tu.Kwa kazi anayofanya Arusha namu-endorse for President 2025,viatu vinamtosha kabisa.Ni zaidi ya Magufuli.Kijana anapiga kazi aisee,duh!Ni jewel.
Kichwani kwako upo vzr kweli wewe? uwe unawaza kwa kutumia kichwa kabla ya kuandika!
 
Kigamboni anapotezwa kama alivyopotezwa
 
Makonda kama ana taka ubunge inabidi aende Nyamagana au ilemela. Chapu tu ana beba
 
Huenda hizi hadithi ni za ukweli kuhusu huyo mbunge wa Arusha, kutokuwepo kwa Makonda ni nafuu kwake.
 
Lolote liwalo,Makonda ana akili nyingi sana.Kumbe ubashite alibambikiziwa tu.Kwa kazi anayofanya Arusha namu-endorse for President 2025,viatu vinamtosha kabisa.Ni zaidi ya Magufuli.Kijana anapiga kazi aisee,duh!Ni jewel.
Talk comes so easy!
DAB aka Paulo ni mpyayukaji na populist. Swali: Unaweza kutoa mifano michache ya aliyobuni yanayoendela hadi sasa?
 
Ukichaa mkubwa huu, yaani yaanzishwe majimbo mawili kwa maslahi ya watu wawili badala ya kutazama maslahi ya watu zaidi ya milioni wa Arusha
 
Huenda hizi hadithi ni za ukweli kuhusu huyo mbunge wa Arusha, kutokuwepo kwa Makonda ni nafuu kwake.
Ilitengenezwa habari eti Makonda kapewa sumu na mhusika mkuu ni Gambo.

Ngongo amekaa pale anausoma mchezo mzima.
 
Kazi imeanza Chuganistan.
 
Kwahiyo Kila kwenye mtifuano ni kuongeza majimbo mbona walala hoi kodi zao zinachezewa hivi jamani ?
 
Makonda amekuprove wrong jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…