Paul Makonda: Rais Samia anarogwa sana na watumishi wake


Huenda wanamroga kwa kumtumia popo bawa.
 
Watumishi "Tuiopo' tunatafuta upendeleo kwake. 'TU kiambishi awali nafasi ya kwanza wengi. Nayeye kajijumuisha. Kamchonganisha nani au hujui lugha ya kishwahili Vizuri?. Uchawa ni urozi ili kupata upendeleo. Rudi Darasani utaelewa
 
Hata yeye mwenyewe hapo anaroga sana hili aendelee kubaki kwenye hicho cheo!
 
Mchawi yeye, anajuaje wenzake wanamloga?
 
Nchi inavituko sana yeye amejuaje kama kweli yeye Hamlogi ? Uyu hajui Dunia katika hali ya kawaida huwezi tamaka maneno kama aya kwa Mkuu wa nchi ,kama anajua kwanini wasiambizane wakamalizana huko ,so ukisema mbele za watu inakusaidia nini
Anataka apewe kandarasi ya kuleta walozi toka Gamboshi.
 
Si aseme tu kuwa mama anamkubali sana hata alitaka kupewa uwaziri sema timu msoga haimtaki kabisa! Ila muhula ujao ana uhakika wa uwaziri hata asipogombea ubunge tena akiendelea kucheza vizuri uwaziri mkuu unamuhusu!
Uwaziri Mkuu hadi uwe mbunge wa kutoka jimboni,labda kwa vile Katiba yetu kijitabu tu inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…