Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Tumpime kwa mafuriko ya Kisongo

 
Ukabila na ubinafsi umekujaa,
 
Kwenye uenezi kosa lake ni lipi hasa?
Kusikiliza haki za watu hadharani ni kosa?
Yaani hii Tanzania inatakiwa kupata dikteta muadilifu tu, khalas!
 
Arusha ina overratiwa tu haina maajabu yoyote
Makonda akiamua kuishi anavyotaka yeye hakuna wa kumfanya lolote lile
kumbuka tu kwamba jeshi lote la polisi mkoa wa Arusha linamuheshimu yeye
Sasa ni nyau gani anaweza ku batle na hilo jeshi ili amfikie Makonda
Watu wepesi kusahau Makonda siyo mtu mzuri sana na hii siyo mexico au colombia wala siyo Haiti hakuna kundi la kihalifu ambalo ni tishio kwa serikali bali mafia wa kutisha wako huko huko kwenye system kwa hiyo wanaweza kumfanya chochote mtu yeyote wakiamua


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada wewe ni MPUMBAVU mkubwa.Karibu mambo yote uliyotaja sio majukumu ya RC na hili unalijua lakini kwasababu ya chuki yako kwa Makonda umeshindwa kuficha UPUMBAVU wako.
 
Yani we ni kiazi kweli kweli,umesikia huyo ndo Baba wa wote hapa Arusha,yeye ndo kabeba bajeti zote za unavyo taka wewe?

Bure kabisa
 
Yani we ni kiazi kweli kweli,umesikia huyo ndo Baba wa wote hapa Arusha,yeye ndo kabeba bajeti zote za unavyo taka wewe?

Bure kabisa
Kama yeye anajinasibu kama rais wa Arusha basi afanye hayo tujue kweli yeye ni mwamba vinginevyo ni blablaa tu.
 
Anahusika na hayo mafuriko mbona yametokea mara tu baada ya yeye kuwasili Arusha?
 
Nakufahamu kwa zile mbwembwe zako hasa kwenye mikutano ya wananchi.

Mimi kama mwenyeji kiasi wa mikoa ya kilimanjaro na Arusha nakupa tahadhari kuna hao jirani zangu wa kabila la wameru. Kuwa nao makini sana usije ukaleta dharau zako na majigambo yako hasa unapotaka kuonesha ule umwamba wako tuliouzoea kwenye mikutano yako sehemu zingine.

Nimeona nikupe tahadhari mapema kabla hujadhalilishwa na kuaibishwa mkuu.

Nakutakia kila la heri.
 
Hakuna Cha Tahadhari.

Nimjuavyo Makonda ni mtu wa HAKI INAYOENDANA NA UWAJIBIKAJI.

weee kama ni Muarumeru Shoga, jiandae !!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…