Paul Makonda unatakiwa ujifunze na ujitafakari sana

Paul Makonda unatakiwa ujifunze na ujitafakari sana

Naweza kumsamehe Paul makonda Ila sio CYPRIAN MUSIBA........MUSIBA ALIWAKEJELI SANA WASTAAFU WETU.
 
Sema tu ccm inawalinda wahalifu kwa maana hata nao hakuna aliyemsafi hata mmoja, bashite alitakiwa awe jela sema nasi tu ni ccm.
 
Hata kama analindwa na ccm lakini kabla ajaondoka duniani ni lzm atalipa alotenda.
 
Yeye na boss wake kwa yote yalopita Mungu aliingilia kati Ili kuonyesha uKuu wake.
Wao waliamini watadumu milele, yote ni bure sawa na kuukimbiza upepo tu.
Ila Mimi Ingekuwa ndo kanifanyia ningelala nae mbele nisingekubali lzm nilipe kisasi ,saa hizi akiwa raia huku boss wake katwaliwa
 
Hata kama analindwa na ccm lakini kabla ajaondoka duniani ni lzm atalipa alotenda.
Jamaaa we mungu ssa umekuwa du unaumia na maisha ya mtu ambae hata hakuhusu kwa chochote kila pole mkurungwa
 
Musiba na makonda wanaishi kwa aibu sana baada ya mungu wao Kinga yao kufa
 
Sema gwajiboy alimnyoosha sana jamaa mpaka akamwaga chozi kwenye halaiki kweupee...
Kwa hasira Ili kumliwaza mwanae kipenzi Ili kumpooza na dozi za gwajiboy, baba yake akaamua kuwafukuza watu Kazi zaidi ya elf kumi kwa uonevu Mkubwa bila kujali mchango wao waliojitoa kutumikia taifa.Kama sio uonevu mbona majeshini akuwagusa.
 
Ninacho jua sababu kuu ya Marekani kumpiga ban ni baada ya yeye kuwashikia njuga mashoga kama wewe.

Sio ninyi mliokuwa mnapiga kelele kuwa ana vyrrti deli atolewe. Amesha tolewa tena mnashangaa eti kwanini hateuliwi.

Hii nchi ni ngumu Sana
Sio kweli Ingekuwa ni mashoga ulaya yote angepigwa ban.Ishu kubwa alikuwa na misheni ya kwenda kumdhuru mange enzi hizo zama za mange yupo juu kabla ya kigogo.
Ban ni kwa sababu ya mange na sio mashoga.
 
Sielewi mantiki ya mada yako.

Umekuja kumpgia kampeni huyo mtu wako kupitia hapa hapa JF ili wakubwa wasimsahau au unatakaje?

Huyo Bashite naye ni mtu mwenye hadhi ya kuanzishiwa mada hapa JF ili watu wapoteze muda kumjadili; halafu iweje?

Mbona JF limekuwa kama jalala siku hizi!
Anatukumbushia tu kuwa huyu 'Faili' lake bado lipo na linafanyiwa upembuzi yakinifu.!

Kikubwa tuombe Mungu Katiba Mpya kuifanikisha.
 
Jamaaa we mungu ssa umekuwa du unaumia na maisha ya mtu ambae hata hakuhusu kwa chochote kila pole mkurungwa
By experience ye sio wa kwanza,katembea mle mle dunia imewekwa kwenye misingi ukiikosea ni lzm itakuhukumu hata wewe jaribu kukiuka misingi ya dunia utapata mrejesho.
 
By experience ye sio wa kwanza,katembea mle mle dunia imewekwa kwenye misingi ukiikosea ni lzm itakuhukumu hata wewe jaribu kukiuka misingi ya dunia utapata mrejesho.
Hha kalunya sawa si umesema ww
 
Unataka ajifunze nini sasa we nae , umemuona ana shida gani ? Kama ni ofsi aliamua kuiacha mkae nayo , ametulia zake Kwa aman, mnaanza chokochoko ....Hana shida na teuzi angekuwa na shida ungemuons anaongea huku na kule ,
Jinai haifii.
 
Wewe hangaikia lishe yako na wanao.
Huyo Makonda nakushauri uachane nae sio msugua benchi kama unavyofikiria wewe na wenzio.
Maisha aliyo nayo kwa sasa hata mawaziri Hawanayo.
Na anao ulinzi wa kutosha na anakula bata full time.
Siku zikifika ulinzi sio chochote
 
Ndani ya mkoa wangu, serikali yangu.
Ndumba mbaya sana ukupa matumaini hewa ya kuamini utadumu milele.Zikiexpire utamsalia mtume.
 
Sio kweli Ingekuwa ni mashoga ulaya yote angepigwa ban.Ishu kubwa alikuwa na misheni ya kwenda kumdhuru mange enzi hizo zama za mange yupo juu kabla ya kigogo.
Ban ni kwa sababu ya mange na sio mashoga.
Sidhani kama kama alikuwa amefika level hiyo. Na kama huo mpango ulikuwepo basi aaingeenda yeye.

Kumshuru mtu state siyo lahisi kama mnavyodhani
 
Anajifariji kwenda shule Masyers kizazi hiki hawasajau kamae
 
Back
Top Bottom