laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,983
- 9,760
Paulina Gekul yuko smart, nimempigia kampeni uchaguzi uliopita.. Viongozi wa Chadema walimtongoza akakataa....Shida ikaanzia hapoWewe ni mnafiki!
Tangu lini kukawa na deadline ya kupokea watu wanaohama kama hakuna hujuma?
Hii CCM ambayo mwenyekiti anatishia kupiga mpaka shangazi wa waziri mkuu ndio chama cha kukimbilia?
Mkuu nifafanulie kidogo maana ya hilo neno 'kutweza'
"Malaya tu" Nyerere (1967).Mbunge wa babati mjini kupitia tiketi ya CHADEMA ndg. Pauline Gekul amejihuzuru nafasi yake ya Ubunge leo hii. View attachment 897179
Naona waliendeleza hilo ndio maana amesema kumekuwa na juhudi za kutweza utu wake!! Mkuu Nyumisi unaweza kupata maana ya neno kutweza utu wa mtu toka kwa bandiko la mkuu laki si pesa.Paulina Gekul yuko smart, nimempigia kampeni uchaguzi uliopita.. Viongozi wa Chadema walimtongoza akakataa....Shida ikaanzia hapo
Matatizo yapo ccm, chadema, cuf, nccr, chauma, act n.k. hakuna chama kilicho salama! Tena vyama vinavyozidi kukua na matatizo yanaongezeka zaidi.Kwa yeyote anayebisha kuwa kuna tatizo huko chadema;
Anatakiwa kufikiri Mara mbili;
Nafikiri hapo neno kutweza ndo mahala pake, hakuna haja ya kufanya manyanyaso kisa mwanamke kakutolea nje. Inawezekana ameshaingia kwenye commitment na mtu mwingine au labda hujamu impress. Ni vizuri tujifunze kukubaliana na hali kuliko kuendekeza ubabe usio na maana, wanawake mbona wapo wengi tu.Paulina Gekul yuko smart, nimempigia kampeni uchaguzi uliopita.. Viongozi wa Chadema walimtongoza akakataa....Shida ikaanzia hapo
Huyu mama leo ndio kaweka wazi mbivu na mbichi na mwenye masikio na asikie. Matatizo mengi likiwemo tatizo sugu la kutweza utu wa watu
Ukizingatia toto la kimbulu mashallah liko safi..Chadema kuna uhuni mwingi mno wanawake wananyanyasika... Anaeiweza Chadema ni Halima Mdee msela yule wanamuogopa hakuna wa kumzinguaNafikiri hapo neno kutweza ndo mahala pake, hakuna haja ya kufanya manyanyaso kisa mwanamke kakutolea nje. Inawezekana ameshaingia kwenye commitment na mtu mwingine au labda hujamu impress. Ni vizuri tujifunze kukubaliana na hali kuliko kuendekeza ubabe usio na maana, wanawake mbona wapo wengi tu.
kutweza utu ni kudhalilishwa kijinsia..hapo ndipo alichodhamiria kusema......Kiswahili kigumu kidogo.
..una maana gani unaposema " kutweza utu wa watu. "
..kwa mfano Mama Gekul kuna jambo gani ambalo amefanyiwa?
..nilivyomsoma kwa haraka analalamika amesusiwa chama na viongozi wenzake wa makao makuu.
Fikiria huyo ni mbunge wa jimbo, vipi hawa wa viti maalumu uwezekano ni mkubwa lazima wakubali kuwa vitafunio vya wazeeUkizingatia toto la kimbulu mashallah liko safi..Chadema kuna uhuni mwingi mno wanawake wananyanyasika... Anaeiweza Chadema ni Halima Mdee msela yule wanamuogopa hakuna wa kumzingua
Acha kukurupuka soma barua yake! Huyu ni mwanamke wa kwanza na amegusia hata suala la kumnyima mtu KWacha awahi deadline!
Upuuzi wa namna hii, ipo siku utakoma. Watu hawana huruma na taifa hili.
Chadema kuna tatizo kubwa waache visigizio eti kwa kila mbunge anayehama kanuniliwa.
Viti maalum ndio balaa viongozi wote wana vimada wao huko,....we chunguza viti maalum wa Chadema ni vibinti vizuri vizuri vya kuuza suraFikiria huyo ni mbunge wa jimbo, vipi hawa wa viti maalumu uwezekano ni mkubwa lazima wakubali kuwa vitafunio vya wazee