the big mayai
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 230
- 325
Tatizo siyo kukatwa ila ni njisi gani pesa zilizokatwa zinatumika, wabunge wengi wa Chadema hawariziki na matumizi ya pesa zinazokatwa wanaona zinatafunwa tu na mwenyekiti wa chama kinyume na lengo lililokusudiwa tangia mwanzo.
CCM imejaa majizi, Dr bashiru aliRuzuku ziliwe na Mbowe halafu uchaguzi uchangiwe na wabunge ...huo ndio upuuzi
Makamanda ni kama wamepigwa shoti. Leo kimyaa, kabaki Salary Slip tu, tena ameshika tama.
Uliulizwa una ushahidi wa hayo manunuzi kufanyika ukaanza kubwabwaja?..Kwa lipi la ajaabu?
Kubadili maisha ya watanzania mmeshindwa mmebaki kununua wanasiasa mkidhani ndio wananchI watawakubali kumbe mnadhidi kuwakera na wanawaona wabinafsi.
Nanukuu“Ni ukweli usiopingika kwamba mzigo wa kuendesha chama umeachwa mabegani mwa wabunge, chaguzi ndogo zilizopita hakuna msaada wowote kutoka chama makao makuu, fikiria kutoka mwaka 2015 mchango wa kuendesha chama kutoka makao makuu haujazidi shilingi za kitanzania laki tano(500,000). Chaguzi zote nigharamie mimi, ilihali chama kinapata ruzuku ya Zaidi ya milioni 300 kila mwezi na bado wanatukata zaidi ya 500,000 kila mwisho wa mwezi, hii sio haki” Mwisho wa kunukuu.
Mwenyekiti inabidi ajitafakari siyo kuja na visingizio vya kwamba eti wananunuliwa. Hata ningekuwa mimi kwa upuuzi huu ningehama chama haiwezakani ruzuku yote milioni 300 kila mwezi utafune halafu unikate tena laki tano kila mwezi hakika huu ni ulafi uliopitiliza.
huwa namkubali huyu mama,mrembo wa haja,mjenga hoja,hatukani. Ni mpinzani mno wa Mary Nagu,haziivi,sijui walikutanaAisee.... Ktk wabunge wote waliokimbia CHADEMA huyu mama ndio nimemuelewa vizuri zaidi. Kaweka kilakitu wazi. Hajawa mnafiki hata kidogo. Wengine nazani walikuwa wanajaribu kulinda Heshima ya Mbowe. Wakasema tu kwamba wanaunga mkono juhudi za rais kumbe moyoni walikuwa nazaidi ya hayo! Nimeamini wanaume tumeumbwa na vifua!
mrudisheni mo acheni maneneno! yule alipo pigwa risasi mlisema dereva na huyu je katekwa na bashiteNdio maana wengine waliamua kuchukua mikopo ya ml 600 wakose cha kukata!
Kukurupuka kutakuua...Kama hajanunuliwa kwanini anaenda kugombea tena. Kwani huwezi unga mkono juhudi kwa kuwa mwanachama wa kawaida wa ccm???
Katiba ya chadema inasema,BADO KUNA SWALI NAJIULIZA, HIVI MBOWE NI NANI KATIKA NCHI HII AWEZE KUFANYA MADUDU YOTE HAYO BILA KUCHUKULIWA HATUA. KAMA ALIKUWA ANAKATWA BILA RIDHAA YAKE, KWANINI HAKUSHITAKI KWENYE VYOMBO VVYA USALAMA
Utahoji mbele ya mfalme mbowe?Sawa, uamuzi wake ni mzuri lakini? Hapakuwa na jinsi yeyote ambayo wangeweza kaa na kusolve.? Nachokiona ni Njaa, na hofu ya maisha, inayotia kiwewe cha kurudi bungeni tena.
Hapa ndio huwa nashangaa sana hivi mkuu kama kichwa yako iko vizuri, Huoni ajabu mtu ajivue ubunge kwasababu ya mambo fulani asiyokubaliana nayo kwenye chama chake, akajiunge na chama kingine na hicho chama kimpe nafasi ya kugombea tena wewe huoni maajabu hapa kwann asijivue ubunge akaenda kulima au kuwa mfugaji!?.Hujiulizi hata kidogo kama sio rushwa ya kisiasa ni ninii hikii?Chadema kuna tatizo kubwa waache visigizio eti kwa kila mbunge anayehama kanuniliwa.
Hahahaha...we jamaa kodi lukuki kama zile anazokatwa mtumishi wa umma, PAYE, VAT, Loan board, TUCTA etc etcAisee ni kweli mkuu. Af kibaya zaidi pamoja na yote hayo wanataka kum-mtweza. 'kumla mzigo' kodi nyingine hiyo! Hapana kwakweli bora kastuka.
RUDIA KUSOMA TENA NILICHOANDIKA, MTUHUMIWA NI MBOWE NDIYE ANATAKIWA KUSHTAKIWA. KAMA MAAMUZI YAMEFANYWA NA CHAMA INA MAANA NA HAO WANAOLALAMIKA NI SEHEMU YA WALIOTOA HAYO MAAMUZIKatiba ya chadema inasema,
mwanachama akikishitaki chama atakua amejiondoa automatically.