Human Being is a selfish being.Ukihoji na ukaona hakuna mafanikio ya kuhoji unaangalia maslahi yako.Na Gekul kaangalia maslahi yake.Africa hakuna wapambaji wa maslahi ya Umma.Unapambana kwanza Kwa maslahi ya tumbo lako then unakuja kupambana Kwa ajili ya maslahi ya Umma.Mkuu kwa mawazo yangu naona kama anasema wabunge wa hicho chama wanakatwa laki tano 500,000 kila mwezi na hamjui matumizi yake kwa nini msihoji mpambanaji wa kweli hakati tamaa kukimbia sio suluhisho
Kila mtu anapigania tumbo lakeSawa, uamuzi wake ni mzuri lakini? Hapakuwa na jinsi yeyote ambayo wangeweza kaa na kusolve.? Nachokiona ni Njaa, na hofu ya maisha, inayotia kiwewe cha kurudi bungeni tena.
Gekul amekitaja chama kama mtuhumiwa mkuu, na si mboweRUDIA KUSOMA TENA NILICHOANDIKA, MTUHUMIWA NI MBOWE NDIYE ANATAKIWA KUSHTAKIWA. KAMA MAAMUZI YAMEFANYWA NA CHAMA INA MAANA NA HAO WANAOLALAMIKA NI SEHEMU YA WALIOTOA HAYO MAAMUZI
TATIZO INAONEKANA WAMEPEWA KAZI MOJA LAKINI HAWAJUANI, HIVYO KILA MMOJA ANAKUJA NA LAKE.Hawa wateja wa CCM wala hata hawaeleweki, mwingine kasema kuwa katibu mkuu wa CHADEMA anafanya kazi za kusaini cheki makao makuu mwingine anasema kuwa Mbowe anatafuna fedha za ruzuku,sijui hizo fedha za ruzuku ya chama zinaingizwa kwenye akaunti ya Mbowe lakini mwenye mamlaka ya kuziandikia cheki na kuruhusu kutolewa kwenye akaunti ya Mbowe ni katibu mkuu badala ya mwenye akaunti.
KWAHIYO KAMA MAAMUZI NI YA CHAMA INA MAANA NA YEYE GEKUL I MMOJA WA WALIOTOA/PITISHA HAYO MAAMUZIGekul amekitaja chama kama mtuhumiwa mkuu, na si mbowe
Labda kama ni hakika kwamba chama = mbowe
-suala la kukatwa 500000 hajalilakamikia, amekalamikia matumizi yake.
Na kwa hawa madiwani na wabunge ambao wameshasema/wanasema kuwa wanashawishiwa na kuahidiwa kupewa pesa nyingi wahame CHADEMA na kuhamia CCM haiwezi ikawa sababu kuu inayowafanya wapinzani wanaokubali vishawishi vya CCM kuhamia CCM?.Nanukuu“Ni ukweli usiopingika kwamba mzigo wa kuendesha chama umeachwa mabegani mwa wabunge, chaguzi ndogo zilizopita hakuna msaada wowote kutoka chama makao makuu, fikiria kutoka mwaka 2015 mchango wa kuendesha chama kutoka makao makuu haujazidi shilingi za kitanzania laki tano(500,000). Chaguzi zote nigharamie mimi, ilihali chama kinapata ruzuku ya Zaidi ya milioni 300 kila mwezi na bado wanatukata zaidi ya 500,000 kila mwisho wa mwezi, hii sio haki” Mwisho wa kunukuu.
Mwenyekiti inabidi ajitafakari siyo kuja na visingizio vya kwamba eti wananunuliwa. Hata ningekuwa mimi kwa upuuzi huu ningehama chama haiwezakani ruzuku yote milioni 300 kila mwezi utafune halafu unikate tena laki tano kila mwezi hakika huu ni ulafi uliopitiliza.
Uko sawa mkuu,KWAHIYO KAMA MAAMUZI NI YA CHAMA INA MAANA NA YEYE GEKUL I MMOJA WA WALIOTOA/PITISHA HAYO MAAMUZI
Kwa hiyo wewe familia yako ikikushinda unahama unaiacha au unapambana kuirudusha kwenye mstari? poor youTatizo siyo kukatwa ila ni njisi gani pesa zilizokatwa zinatumika, wabunge wengi wa Chadema hawariziki na matumizi ya pesa zinazokatwa wanaona zinatafunwa tu na mwenyekiti wa chama kinyume na lengo lililokusudiwa tangia mwanzo.
Unafiki nnaouona mimi kwa hawa wabunge wanaohama kabla hata hajapewa nafasi za kugombea wanajua kabisa kuhusu hayo makato
Dah....kaisome katiba ya Chadema juu ya kukishtaki chama....[emoji23] [emoji23] [emoji23]BADO KUNA SWALI NAJIULIZA, HIVI MBOWE NI NANI KATIKA NCHI HII AWEZE KUFANYA MADUDU YOTE HAYO BILA KUCHUKULIWA HATUA. KAMA ALIKUWA ANAKATWA BILA RIDHAA YAKE, KWANINI HAKUSHITAKI KWENYE VYOMBO VVYA USALAMA
Kwa hiyo wewe familia yako ikikushinda unahama unaiacha au unapambana kuirudusha kwenye mstari? poor you
yampate ya zitto?BADO KUNA SWALI NAJIULIZA, HIVI MBOWE NI NANI KATIKA NCHI HII AWEZE KUFANYA MADUDU YOTE HAYO BILA KUCHUKULIWA HATUA. KAMA ALIKUWA ANAKATWA BILA RIDHAA YAKE, KWANINI HAKUSHITAKI KWENYE VYOMBO VVYA USALAMA
Kwa huu utaratibu wa kutweza ndo maana viti maalumu vinaonekana kama havina maana. Serikali peleka mswada bungeni mara moja kuainisha ni aina gani ya watu wanaotakiwa kujaza nafasi za viti maalumu vinginevyo tutakuwa tunapoteza pesa za walipa kodi kugharamia milupo ya watu pale mjengoni. shiiit!Mwenyekiti wa Chama kagauka kuwa mtoza kodi kwa wabunge. Wabunge wanatakiwa kukatwa kodi ya Tshs 500,000 kwa mwezi!! Hakuna ukaguzi wa hizo pesa.
Zaidi ta hayo, Gekul kalalamika kwamba kuna juhudi za viongozi wa Chama kutaka kutweza utu wake.
Hayo ndio matatizo makubwa sana ya Chama.
Kusema kweli katika wooote waliohama huyu mama Kafunua Kombe na Mwanaharamu hawezi kupita.
Wanataka alipe kodi mara mbili. Sheria za kodi haziruhusu double taxation . Kila mwezi analipa laki tano ,na hiyo tena wanataka? hiyo ni double taxation haikubaliki KisheriaAisee ni kweli mkuu. Af kibaya zaidi pamoja na yote hayo wanataka kum-mtweza. 'kumla mzigo' kodi nyingine hiyo! Hapana kwakweli bora kastuka.
Hujaona anasema kuna juhudi za kutweza utu wake? Kwa kizungu kutweza utu ni ku desgrade personallity. Amekimbia juhudi ambazo wamekuwa wakizifanya kutweza utu wake. Hizo juhudi za kutweza anazifahamu yeye na viongozi wenye juhudi za kutweza utu wake.
RUDIA KUSOMA TENA NILICHOANDIKA, MTUHUMIWA NI MBOWE NDIYE ANATAKIWA KUSHTAKIWA. KAMA MAAMUZI YAMEFANYWA NA CHAMA INA MAANA NA HAO WANAOLALAMIKA NI SEHEMU YA WALIOTOA HAYO MAAMUZI