Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Saiv,tunasubir watuambie umbeya na majungu ya chadema.mwishon wanamalizia tunaunga mkono juhudi za mkulu
 
Ww kuna kitu huelewi..nakuhakikishia hata wale waliopoteza maisha kwa ajili ya hiki chama wakifufuka leo watajuta kwanini wali support hiki chama

Isshu pia sio kutoa mchango..je mchango unatumikaje

Chadema..kama lisu alivyowahi kusema..wana ujinga mwingi pia unaowafanya na wao wasieleweke kwa watu..

Mbaya zaidi hawataki kujikosoa...
 
Acha Ujinga
nenda kwenye mada husika
Laki tano kila mwezi za mbunge za nini na zinaenda wapi
Milion 300 kila mwezi zinaenda wapi
Hamna hata Banda la kuku!!
Mnashindwa kujiongoza Nchi hii mtaiongoza!!
Majitu mapumbavu utayajua tuu, uwezo wao wa reasoning no mgogoro mtupu. Hiyo laki 5 ni fine au makubaliano? Halafu hivi kwako kwa taasisi ya kitaifa kama Chadema 300 milioni unaona ni kuwa sana kama unavyo aminishwa?
We nenda tuu kaendelee na kazi zako dukani kwa wahindi tuu, maana ndio akili yako inafit
 
Unaongea pumba mpaka najisikia vibaya kuwa kwenye same platform na wewe. Hakika ningekuwa na roho nyepesi ningejitoa humu.

Unasema eti ni faida ya Mbunge kuendesha chaguzi ndogo! Huu upuuzi ndio nausikia kwako leo. Tafakari hiyo dhana yako kisha chukua maamuzi sahihi ikiwemo kufuta comment yako yote.
 
Hapo ndio uwa mnawapiga "sound" makamanda kuwa 300 m sio kitu kwa taasisi kama CHAGADEMA. Leo ni kuwafanya wasihoji matumizi ya fedha za ruzuku za chama.

Ni hivi, hao wanywa viroba ambao ndio sehemu kubwa ya wanachama wenu mnaweza kweli kuendelea kuwadanganya, ila wabunge ndio wanajua ukweli na wengi wao wamekataa kuendelea kuchangia SACCOS ya familia ya Mtei. Muwaache wabunge waje kwetu kwani huku kuchangia ama kutochangia ni hiari ya mtu.
 
Tatizo ni uelewa wako tu!
 
kama yule boss wa JIWE ambae ni m'bunge wa chato inapendeza munooo[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji61]
 
Nimesoma barua ya mheshimiwa lakini nimejikuta ninajiuliza maswali yasiyo na majibu.

Kwa mtazamo wangu sikuona mantiki ya barua hiyo kuomba kujiunga na chama cha Mapinduzi. Sidhani kama ilo lilipaswa kuelekezwa kwa Mh. Spika. Yote kwa yote, hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu katika siasa ila kuna malengo ya kudumu. Kwa sasa siasa ni ajira na ni biashara kama biashara nyingine. Ukiona upande uliopo haulipi nenda ule utakaokulipa kwa haraka.
 
Hilo siku hizi siyo habari tena
 
Wanapomwambia spika wanaomba kujiunga na CCM wana maana gani? Wao walipaswa kumjulisha tu spika kuwa wamejiuzulu ubunge mambo ya vyama wangewaandikia wahusika. Cha ajabu wote hawaandiki barua CHADEMA kutoa taarifa kujitoa katika chama na kujiuzulu kujiuzulu ubunge. Hata kama ni kufundishwa walioaswa na wao kujiongeza
 

Huruma na upole wa CDM unawa cost sana!! Katika hali hii wanatakiwa waachane na porojo, wakamate hao wanaowasaliti wawili tu, itakuwa fundisho kwa wengine na hakuna atakayedhubutu kuwasaliti hata apewe bil kumi!!!
 
Sio habar ya kushangaza ila. Najua watalia sana 2020 hawatakua na nafasi wala dhamani ndani ya ccm by that time
Hawana shida lazima dau walilopewa ni kubwa na ahadi ya kugombea tena bila kupingwa mwaka 2020 watakuwa nayo. Siyo muda mrefu yote yatadhihirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…