ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Huu ndio ukweli na CCM hapa wamempa Zito ushindi wa Bure.Baba levo ameibiwa kura
Huu ndio ukweli na CCM hapa wamempa Zito ushindi wa Bure.
Wangeshibda Hilo Jimbo kama Baba Levo angekuwa mgombea.
Ila ndio Michezo ya CCM , nadhani CC inaweza mkata huyo mahindi.
Sio kwamba kamati ya kifamilia itamrudisha?
Kupitia uzi huu tutaweka updates za majimbo yote kwa watia nia wa ubunge kupitia CCM walioweza kushinda kura za maoni za wajumbe
Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Kinondoni - Tarimba Abbas
Kivule - Ojambi Masaburi
Ilala - Musa Zungu
Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma (Mwana FA)
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Korogwe Vijijini - Timotheo Mzava
Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera
Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara
Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Godwin Oloyce Mollel (Mwanri)
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola
Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu
Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu
Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Makete - Festo Sanga
Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Morogoro Kusini - Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale)
Lindi
Mchinga - Salma Kikwete (mgombea pekee)
Mtama - Nape Moses Nauye (Jemedari Said)
Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela
Ngara - Abhajumbe Murakoze Cyane
Dodoma
Dodoma Mjini - John Malecela
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
Kondoa kusini - Mariam Ditopile
Kundoa vijijini - Ashatu Kijaji
IRINGA
Iringa mjini - Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini - Dickson Lutevele
Mufindi Kaskazini - Lukman Mehrab
Mufindi Kusini - David Kihenzile
Pwani
Chalinze - Ridhwan Kikwete (mgombea pekee)
Rufiji - Mohamed Mchengerwa
Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda
TABORA
Nzega - Hussein Bashe
Sikonge - Munde Tambwe
GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko
MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
KIGOMA
Kigoma Mjini - Kilumbe Shaban Ng'enda
Kasulu Mjini - Joyce Ndalichako
SIMIYU
Bariadi vijijini - Masanja Kadogosa
Meatu-Salum Khamis Salim(Jambo)
Songwe
Tunduma - David Silinde
View attachment 3431477View attachment 3431478View attachment 3431479View attachment 3431480View attachment 3431481View attachment 3431482
Mbona huko Kaskazini Molell na Ummy bado mko nao?.Mikoa ya kusini wajitafakari tena , wabunge wale wale miaka nenda rudi
Ushabiki hupofusha mkuuJF imekuwa ya hovyo siku hizo, mtu anaweka taarifa za uongo na watu bado wanazikubali
Jimbo la Ngara badala ya kuandika jina la aliyepitishwa kuwania ubunge wewe umeandika kwa kihangaza "Wajumbe asanteni sana (Abhajumbe murakoze chane ) " sasa ndio tuelewe nini?!Kupitia uzi huu tutaweka updates za majimbo yote kwa watia nia wa ubunge kupitia CCM walioweza kushinda kura za maoni za wajumbe
Dar es salaam
Ubungo - Kitila Mkumbo
Kibamba - Angela Kairuki
Kawe - Geofrey Timoth
Kinondoni - Tarimba Abbas
Kivule - Ojambi Masaburi
Ilala - Musa Zungu
Tanga
Muheza- Hamis Mohamed Mwinjuma (Mwana FA)
Pangani - Jumaa Hamidu Aweso
Tanga Mjini - Ummy Mwalimu
Korogwe Vijijini - Timotheo Mzava
Ruvuma
Peramiho - Jenista Joakim Mhagama
Songea Mjini - Damas Ndumbaro kwa
Nyasa - John John Nchimbi
Namtumbo - Juma Zuberi Homera
Mara
Tarime Vijijini - Mwita Mwikwambe Waitara
Kilimanjaro
Moshi Vijijini - Moris Makoi
Siha - Godwin Oloyce Mollel (Mwanri)
Moshi Mjini - Priscus Jacob Tarimo
Vunjo - Enock Koola
Mbeya
Mbeya Vijijini - Patali Shida
Uyole - Tulia Ackson Mwansasu
Rukwa
Kwela - Deus Clement Sangu
Njombe
Makambako - Daniel Godfrey Chongolo
Wanging'ombe - Feston John Dugange
Makete - Festo Sanga
Morogoro
Morogoro Mjini - Abdulaziz Mohamed Abood
Kilosa - Palamagamba John Aidan
Morogoro Kusini - Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale)
Lindi
Mchinga - Salma Kikwete (mgombea pekee)
Mtama - Nape Moses Nauye (Jemedari Said)
Kagera
Karagwe - Innocent Bashungwa
Kyerwa - Khalid Nsekela
Ngara - Abhajumbe Murakoze Cyane
Dodoma
Dodoma Mjini - John Malecela
Mtumba - Anthony Peter Mavunde
Kongwa - Job Ndungai
Kondoa kusini - Mariam Ditopile
Kundoa vijijini - Ashatu Kijaji
IRINGA
Iringa mjini - Fadhili Fabian Ngajilo
Mafinga mjini - Dickson Lutevele
Mufindi Kaskazini - Lukman Mehrab
Mufindi Kusini - David Kihenzile
Pwani
Chalinze - Ridhwan Kikwete (mgombea pekee)
Rufiji - Mohamed Mchengerwa
Arusha
Arusha Mjini - cha Paul Christian Makonda
TABORA
Nzega - Hussein Bashe
Sikonge - Munde Tambwe
GEITA
Bukombe - Doto Mashaka Biteko
MTWARA
Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
KIGOMA
Kigoma Mjini - Kilumbe Shaban Ng'enda
Kasulu Mjini - Joyce Ndalichako
SIMIYU
Bariadi vijijini - Masanja Kadogosa
Meatu-Salum Khamis Salim(Jambo)
Songwe
Tunduma - David Silinde
View attachment 3431477View attachment 3431478View attachment 3431479View attachment 3431480View attachment 3431481View attachment 3431482
Atakata rufaa...Kashindwa kufunga goli la mkono kwa wajumbe?
Kumbe bumunda Jemedari Saidi halijashinda? Ningeshangaa sana maana ingekuwa wametoa kiazi wameweka bumunda. Bora waendelee kiazi chaoNilipoona mtama umeandika jemedari saidi, nikajua kabisa umeamua kuandika UONGO
mods saidieni kuborssha threads, watu wanaamua kuondoa credit ya jukwaa
Majimbo ya Singida je, nani mwenye matokeoDodoma
Mmezoea kubishana migundinii sitawaweza,ila ukweli ndio huo. We unafikili daraja la Somanga ingekua barabara ya Dar Mwanza lingekaa miaka miwili bila kukamilika..et hiyo yote hakuna mtu wa kuwapa changamoto ccm huko.Wewe kwenu wapi ?
Mnakaririshwa sana mambo .
Huko Kusini Cecil Mwambie hakuna mbunge wa ndanda kwa ticket ya CHADEMA? Vip Mzee Suleiman Bwege wa Kilwa alikuwa Bungeni kwa ticket ya CCM au Kilwa ipo Kaskazin?
Si wameshakaa vikao vya aina hiyo walimkata Byabato, Gambo, Makamba na wengine, wakiwakata hawa waliopitishwa na wajumbe itakuwa uonevu.Bi kizimkazi anaweza pindua meza, kama Mzee magu alivyofanya Kwa mwana fa kule tanga