GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CDM wakishiriki watashinda pakubwa sana kwa kitendo cha kurudisha sura ya bunge lilelile lililopita kwa kiasi kikubwa sana ambalo wananchi walipoteza imani nalo kwa kiasi cha
Chadema wajinga mno.Wangeshiriki hili bunge wangepata viti vingi mno.Samia ni kama Jk ,asingeiba kura za ubunge.
 
Jamaa anapotosha na kusini haijui.
Anadhani kusini ni sawa na Dodoma ambako tangu tumeingia kwenye vyama vingi hawajawahi kutoa mbunge wa upinzani.
Sasa na ww unataka kufananisha wagogo na watu wengine? This people are so stupid !!! Shangaa kijana mwenye afya tele anamsukuma mamake mzazi kweny wheel chair ili waombe mtaani!!
 
Kigwqngala alidhani Ubunge ni wa familia.
Wamempiga chini yeye na mke wake kaliwa kichwa viti maalum.
 
Chadema wajinga mno.Wangeshiriki hili bunge wangepata viti vingi mno.Samia ni kama Jk ,asingeiba kura za ubunge.
Siyo kwa urahisi unavyozani,angalia wao kwa wao wanavyofanyiana
 
Kilimanjaro sijaona majina ya Same mashariki,Same magharibi,mwanga na Rombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…