Pendekeza tozo nyingine Serikali ya Samia iichukue

hakuna cha bure katika ulkmwengu huu, lazima tulipe tozo kwa maendeleo yetu.
unadhani maendeleo yataletwa bila tozo?! thubutu!!! hata hao wanao pinga tozo wanalifahamu hilo, ila nia yao ni kuona Serikali inashindwa kuleta maendeleo ya wananchi.

Watu hawana tatizo na kulipa kodi, tatizo lingine ni kuwa hizo kodi zinafanya nini ?

Yaani ukiacha vitu alivyofanya mwendazake, hawa wendawazimu wamefanya nini kwa matrilioni ya mikopo na hizo Tozo ?
 
Kuna kiongozi mmoja 002 alipoambiwa kuwa Kuna pesa chache mtaani hivyo hakuna mzunguko.

Akashauri ,nendeni mkawaagize Benki kuu wakachapiche pesa ziwe nyingi!!!

Tangu lini green guard akajua Uchumi!!!
 
Wahaya wote wapewe TIN number na machine ya EFD....waaanze kutupa risiti..
Barabara zote zianze kulipiwa kodi...watu watulie makwao..
Ndoa pia zilipiwe kodi, Kila mke alipiwe kodi..
Watoto pia tusiwasahau
 
Tozo maalum kwa great thinkers wote, vilaza tukaushiwe kwanzaa..
 
Tatizo linapokuja ni pale ambapo utasikia pesa zimetumika vibaya au zimeibwa sijui bilioni ngapi huko hiyo ndo hukatisha zaidi watu tamaa kabisa, ingekuwa leo hii tupo kwenye hatua nzuri ya kiuchumi naamini hizi tozo watu wasingeongea sana, ubaya unakuja unakamuliwa tozo ila output inaonekana kwa darubini...UFISADI.
 
Hizi ni hisia tuu ila in most cases pesa inatumika vizuri..

Hata hivyo Ili kukabiliana na hilo kwani hikuona maelfu ya ajira za Takukuru na Wakaguzi wa ndani Ili kusimamia value for money?
 
Hii tozo ya kuona unamaanisha vile wanaume tunaangalia makalio sio ?
Hii Ni nzuri tukigeuka nyuma kuangalia makalio tutoe tozo
 
Hizi ni hisia tuu ila in most cases pesa inatumika vizuri..

Hata hivyo Ili kukabiliana na hilo kwani hikuona maelfu ya ajira za Takukuru na Wakaguzi wa ndani Ili kusimamia value for money?
Ndiyo hivyo mjue kabisa kuwa walipa Kodi tunakata tamaa sometimes kwa kuona pesa za serikali zinatumiwa hovyo...value for money ipi hiyo?, ina maana siku zote hizo serikali haikuwa na hao watu, kwa kweli Kodi na tozo laiti Kama zingetumika vizuri tungekuwa na taifa zuri sana...Kama huyu raisi akifanikiwa kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji tutafika mbali ila Kama ni porojo zinazoongelewa hapa basi muda utakuwa ni mwalimu mzuri, napenda zaidi kutoa muda.
 
Tozo ya kuingia hospital, iwe umeleta mgonjwa, kuona mgonjwa au unaumwa. Ni kama ilivyokuwa unaingia stendi ya ubungo kipindi kile.

Hapa serikali itakusanya pesa nyingi tu maana kila siku wagonjwa ni wengi.

Tozo nyingine ya kuingia benki, ukiingia tu benki au kwa wakala basi wawepo mawakala wa kukusanya tozo. Hapa napo serikali itakuwa imelamba dume.
 

Hawezi kufanikiwa, stop that optimism . She don’t have that cognitive capacity. Msimbebeshe mama mzigo mzito hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…