Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
ππππ Hii tozo ya wagonjwa nimeielewa sana, waziri aichukue hii nchi itapiga pesa na tutakua dona kantriTozo ya kuingia hospital, iwe umeleta mgonjwa, kuona mgonjwa au unaumwa. Ni kama ilivyokuwa unaingia stendi ya ubungo kipindi kile.
Hapa serikali itakusanya pesa nyingi tu maana kila siku wagonjwa ni wengi.
Mwenyewe nashangaa sana wa kutupiwa lawama ni huyo bibi kizee kilichokosa huruma na aibu nchi kimeivuruga vuruga sijui kimeumbwaje kipo km kopo hakijali Wala kushtuka, haramia la kizanzibari pambafu kabisaKweli watz wengi ni vichwa matikit mwenye nchi hii ni Nan mwigulu au uyo mama yenu ujinga afanye yeye lawama atupiwe mwigulu kweli ebu tujaribu kutumia kidogo hata ubongo wetu acheni kufanya uyo bibi hausiki ye ndo mkuu wa serikali
Namshauri aweke kadi ya pumzi kabisa ili atumalize kabisa hadi Burundi tushindwe kwendaHumu ndani tunaye Ndugu Waziri @Mwigulu Nchemba, tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo.
Ndugu mara ingine unapofungua thread, reason yourself. JF inatambua capacity yako, unapokuja ba junk kama hii unakuwa kwenye level ya Jumalokole.View attachment 2327988
Humu ndani tunaye Ndugu Waziri Mwigulu Nchemba, tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo.
Mimi naanza na tozo ya ugali, ugali utoe kodi. Mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za nafaka watu wengi sana watakula ugali. Piga idadi ya tonge mara idadi ya tonge kwa siku, kwa wiki na kwa mwezi. Tonge likiwekwa kishimo liwe na tozo kubwa kidogo. Hapo serikali itapata bilioni 900. Tozo nyingine ya haraka haraka ni Simba na Yanga, kila tukifanya utani wa jadi kuwe na tozo.
Anakula KEKI ya TAIFA Wananchi hawana cha kumfanyaIla kuna watu wana dharau asee.
Mkuu maamuzi tunayo tayari, binafsi nilimpenda sana mama SSH lakini kwa sasa sio kabisa!Katika waziri wa fedha wa hovyo kuwahi kutokea ni huyu, Mwigulu sijawahi kumwelewa Kila wizara anazopitia, Sijui Samia anamenelea nini, Shime Shime maamuzi yetu na Hasira yetu tuihifadhi tukaitumie kwenye sanduku la Kura 2025. Tuitoe lichama hili Madarakani akili iwakae sawa.
Tunaambiwa pia Royal Tour imechangia ongezeko kubwa sana la watalii.Tozo za nini wakati raslimali tele zimejaa hazitumiki kuendesha nchi.
1. Tozo ya kodi ya visima irudishwe, serikali inakosa mabilioni kwa kuondolewa kodi hii.View attachment 2327988
Humu ndani tunaye Ndugu Waziri Mwigulu Nchemba, tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo.
Mimi naanza na tozo ya ugali, ugali utoe kodi. Mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za nafaka watu wengi sana watakula ugali. Piga idadi ya tonge mara idadi ya tonge kwa siku, kwa wiki na kwa mwezi. Tonge likiwekwa kishimo liwe na tozo kubwa kidogo. Hapo serikali itapata bilioni 900. Tozo nyingine ya haraka haraka ni Simba na Yanga, kila tukifanya utani wa jadi kuwe na tozo.
HazitoshiTunaambiwa pia Royal Tour imechangia ongezeko kubwa sana la watalii.
Sasa kwa nini wanatuvizia tena kila tukitoa hela zetu benki wanazifyeka?!
Unafahamu kiasi kitakachopatikana kwenye tozo za Benki?Hazitoshi
Maneno yako sio kweli. Dubai ni mfano mmoja mzuri. Hawana Mali ghafi yoyote, hawana hata mafuta, hawana utalii, hawana chochote zaidi ya viongozi bora. Miaka 50 iliyopita ilkuwa ni jangwa tupu la vumbi na mawe. Hawakuwa na tozo wala kodi ya aina yoyote kwa miaka 50 na zaidi. Leo itazame hatua iliyopiga ndani ya 50yrs.hakuna cha bure katika ulkmwengu huu, lazima tulipe tozo kwa maendeleo yetu.
unadhani maendeleo yataletwa bila tozo?! thubutu!!! hata hao wanao pinga tozo wanalifahamu hilo, ila nia yao ni kuona Serikali inashindwa kuleta maendeleo ya wananchi.
NakaziaNi waziri wa fedha kiazi haijawahi kutokea tangu uhuru
Si kweli. Maendeleo hayaletwi na kodi. Maendeleo yanaletwa na matumizi mazuri ya kodi.Usichanganye kodi na TOZO. Maendeleo huletwa na kodi siyo tozo.
Na hakuna anayekataa kulipa kodi!
Kweli kabisa. Nchi hii tuna Almasi, Dhahabu, madini aina zote, Makaa ya mawe, Copper, Uranium, na mengine chungu nzima. Tumezungukwa na Maziwa makubwa ya Africa, Tuna Mito ya kutosha, ardhi yenye rutuba kubwa, vivutio vya utalii chungu nzima na vyenye kuongoza ulimweguni. Tuna Bandari zaidi ya 4.Tozo za nini wakati raslimali tele zimejaa hazitumiki kuendesha nchi.