Hapana hata kwenye maandikio katika bibilia takatifu, "yesu alivyoletewa yule mwanamke kahaba iliapigwe mpaka kufa, yesu aliwauliza wale watu kwa yoyote asie na dhambi basi ainue jiwe na kumpiga huyu mwanamke mpaka afe" mbona walimuacha na kuondoka, hayo ni maandiko matakatifu wewe ni mkamilifu sana mpaka umpige mwenza wako uliemfumanie mpaka afe?
 
Hii tabia ya kuua wanawake kikatili ni ugaidi, unashambuliaje mwanamke ambaye uwezo wake wa kujihami ni mdogo tena unampiga na mapanga, ila hawa w@$3ng3 wakiwa wanatiwa mikononi na wao wacharazwe mapanga hadi kufa.


Pumbaf zao.
Sometimes anaeua ndie victim ameshindwa kupambana na mshtuko wa akili. Mbona hata wanawake wanaowafanyia wanaume matukio ya ukatili ya namna hii wapo wengi sana sio issue ya wanaume tu siku hizi.

Let us not normalize domestic abuse kuwa ni issue ya wanaume tu. Maana naonaga matukio ya namna hii wakifanya wanawake comments zinakuwa za kistaarabu na utani mwingi na inakuwa kama ni habari ya Comedy but akifanyiwa mwanamke inakuwa kama habari ya kutisha sana.

Lets fight domestic abuse for all.
 
Yohane 8:4-11

Kisha wakamwuliza Yesu, “Mwalimu! Mwanamke huyu alifumaniwa katika uzinzi. Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?” Walisema hivyo kumjaribu, wapate kisa cha kumshtaki. Lakini Yesu akainama chini, akaandika ardhini kwa kidole. Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, “Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe.” Kisha akainama tena, akawa anaandika ardhini. Waliposikia hivyo, wakaanza kutoweka mmojammoja, wakitangulia wazee. Yesu akabaki peke yake, na yule mwanamke amesimama palepale. Yesu alipoinuka akamwuliza huyo mwanamke, “Wako wapi wale watu? Je, hakuna hata mmoja aliyekuhukumu?” Huyo mwanamke akamjibu, “Bwana, hakuna hata mmoja!” Naye Yesu akamwambia, “Wala mimi sikuhukumu. Nenda zako; na tangu sasa usitende dhambi tena.
 
Nimepata masikitiko, hasira na na kushangazwa sana kwa wakati mmoja.

Nasikitika Penny alikuwa bado ni dada mdogo na kwasababu alikuwa akiwapa matamanio vijana wa kike ujasiriamali na kujituma.

Aisee.

Poleni wafiwa.
 
"akifumaniwa mtu mme amelala na mwanamke aliyeolewa na mume,na wafe wote wawili mtu mme aliyelala na mwanamke,na yule mwanamke naye;ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako"
Kumbukumbu la Torati 22:22
Hiyo ni amri ya Mungu Mkuu,mwenye upendo wote na mwingi wa rehema na huruma.
Mwanaume bwege kama wewe unayesalitiwa na mkeo halafu unabaki kulia lia ni chukizo kuu.
 
Suluhisho tupunguze kuyachukulia mapenzi serious, kwa wakristo Biblia ilishasema Hakuna Mkamilifu hata mmoja, sasa mwana kulifind ni mwana kuliget.

Kama VP kata mgomba uuweke ndani uwe mpenzi wako.
😂
 
Suluhisho tupunguze kuyachukulia mapenzi serious, kwa wakristo Biblia ilishasema Hakuna Mkamilifu hata mmoja, sasa mwana kulifind ni mwana kuliget.

Kama VP kata mgomba uuweke ndani uwe mpenzi wako.
😂
Toboa kishimo design ya shimo(Hongera OscarOscarJr),dadeki
 
Halafu unakuta jamaa ana ndugu zake wanaishi maisha ya tabu kijijini. Aisee Hii dunia kuna mambo ya ajabu sana. Mimi nilishawahi shuhudia Tajiri anahonga ili ndugu wa kimada afaulu interview shule ya private. Huku ana mtoto wa ndugu yake kapiga 1.11 shule ya serikali hana hata nauli ya kwenda advance level. Wanaume tunajisahau sana tukivimbiwa Mungu tusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…