Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Baadae takuchekiAsante mwanangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadae takuchekiAsante mwanangu
Hapana hata kwenye maandikio katika bibilia takatifu, "yesu alivyoletewa yule mwanamke kahaba iliapigwe mpaka kufa, yesu aliwauliza wale watu kwa yoyote asie na dhambi basi ainue jiwe na kumpiga huyu mwanamke mpaka afe" mbona walimuacha na kuondoka, hayo ni maandiko matakatifu wewe ni mkamilifu sana mpaka umpige mwenza wako uliemfumanie mpaka afe?Kasome historia ya dunia,pitia vitabu vya dini utajifunza ya kwamba msaliti hukumu yake ni KIFO.
Mungu mwenye upendo wote na huruma zote ametoa amri atakayefanya usaliti kwenye ndoa apigwe mawe hadi kufa.Ina maana wewe una akili, huruma na upendo kuliko Mungu?
Sometimes anaeua ndie victim ameshindwa kupambana na mshtuko wa akili. Mbona hata wanawake wanaowafanyia wanaume matukio ya ukatili ya namna hii wapo wengi sana sio issue ya wanaume tu siku hizi.Hii tabia ya kuua wanawake kikatili ni ugaidi, unashambuliaje mwanamke ambaye uwezo wake wa kujihami ni mdogo tena unampiga na mapanga, ila hawa w@$3ng3 wakiwa wanatiwa mikononi na wao wacharazwe mapanga hadi kufa.
Pumbaf zao.
Sasa si unakua na matumaini ya kupata lkn unaona kabs hapa napigwa invoice tu hamna matarajio yeyoteHuo sasa ni ugoigoi mkuu inakuaje unahudumia na haupewi na upo tu🤔
Kama sehemu hujapenda ndo hayawezi kukuumizaChukulia kirahisi mkuu… hayata kuumiza kamwe
Mapenzi yanawatesa sana vijana ck hizi wanawake kuweni makiniKafa mdogo sana
"akifumaniwa mtu mme amelala na mwanamke aliyeolewa na mume,na wafe wote wawili mtu mme aliyelala na mwanamke,na yule mwanamke naye;ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako"Hapana hata kwenye maandikio katika bibilia takatifu, "yesu alivyoletewa yule mwanamke kahaba iliapigwe mpaka kufa, yesu aliwauliza wale watu kwa yoyote asie na dhambi basi ainue jiwe na kumpiga huyu mwanamke mpaka afe" mbona walimuacha na kuondoka, hayo ni maandiko matakatifu wewe ni mkamilifu sana mpaka umpige mwenza wako uliemfumanie mpaka afe?
PoleKafie mbele huko....!!
Ukiwa serious sana na mapenzi uta RIP au utamu RIP mtu, tujenge familia, tutafute pesa, na mengine fanya kisiri siri 😂.Dah watu wanateseka sana na mapenzi ndio mana mm nimeamua kutokuchukulia serious mambo ya mapenzi
Suluhisho tupunguze kuyachukulia mapenzi serious, kwa wakristo Biblia ilishasema Hakuna Mkamilifu hata mmoja, sasa mwana kulifind ni mwana kuliget.ni rahisi kusema hivyo kwa wengine wanaouwa kama siyo wewe, sasa na yeye muuwaji ananyongwa pia au kuishia jela ya kibongo maisha yote huko jela atakuwa raped, bitten na hata kufa pia, sasa is it worth it? labda alikuwa na familia pia inayomtegemea na sasa atafia jela ya kibongo, wakati mwingine ni vizuri kujifunza ku control emotions kwani mwisho wa siku hakuna mshindi…
Toboa kishimo design ya shimo(Hongera OscarOscarJr),dadekiSuluhisho tupunguze kuyachukulia mapenzi serious, kwa wakristo Biblia ilishasema Hakuna Mkamilifu hata mmoja, sasa mwana kulifind ni mwana kuliget.
Kama VP kata mgomba uuweke ndani uwe mpenzi wako.
😂
Jamaa mwenyewe mbeba zege.fundi ujenzi.hata walikuwa hawaendaniHapo mtu anaumia na uwekezaji wa raslimali fedha alioufanya kwa mwanamke.. Wala tatizo sio mapenzi kama wengi wanavyoona..
Na ndio maana wazungu wanasema "Bet what you can afford to loose.."
Halafu mbeba zege tuuHivi,kwa hilo vazi kwanza. Jama alijua ana mtu hapo? Hati miliki ya mchongo.
Haya banaKwani wanawake hawaui?
Unakuja kunichumbia kwetu halafu unizingue
Mapanga yatakuhusu
Hatufanyi ligi tunaeleweshana
Halafu unakuta jamaa ana ndugu zake wanaishi maisha ya tabu kijijini. Aisee Hii dunia kuna mambo ya ajabu sana. Mimi nilishawahi shuhudia Tajiri anahonga ili ndugu wa kimada afaulu interview shule ya private. Huku ana mtoto wa ndugu yake kapiga 1.11 shule ya serikali hana hata nauli ya kwenda advance level. Wanaume tunajisahau sana tukivimbiwa Mungu tusaidie.Evidence ipo, wanaume wengi wanahudumia wanawake na ndio sababu inawafanya waumie zaidi wakiachwa au kusalitiwa
Mtu anakumbuka huduma, pesa alizowekeza kwa mwanamke maumivu yanawazidia
Inahitaji mtu mwenye moyo mgumu kuweza kukabili hizo hisia za uchungu
Wenye moyo mdogo ndio hawa wanaotoa uhai wa wenzao.