Ivi hiyo ya kuelewa mpka uwe na D mbili huwa mnamaanisha kitu gani ?Na mimi siku tukizinguana huwa naficha visu labda uje na wembe. Nitaenda muhimbili ila nikishatoka ujue wewe unakwenda kaburini straight. Huwezi elewa bila D mbili.
Least points za ufaulu ni alama D.Ivi hiyo ya kuelewa mpka uwe na D mbili huwa mnamaanisha kitu gani ?
Yupi..!!?? Toa maelezo ya kutosha ππila mi mwenyewe ningekua wa kuua yule jamaa ningemaliza hakikaππππππΎ
Unakuta dem kazingua halafu anajibu choo tuπ! Hakuna moment ya "into deep shit" kama hio hapo kwa kidume rijali aliyepasuka sana kimaokoto.Huyo mwanamke inawezekana yeye mwenyewe ndiye ameharibu. Wanawake wanakera wewe acha tu mkuu.
Pole Dear...Pole Mno...Asante
Yes ni mama mzazi
πππ kumbe ,mkuu Acha niache kwasababu naweza uliza Tabularasa ni nini tena πLeast points za ufaulu ni alama D.
Ina maana kama wewe ni kilaza hata hiz D unaweza usipate. Maana bila D wewe ni FFFFFF mpaka mwisho. Tabularasa.
Akikujibu naomba uni tagππIvi hiyo ya kuelewa mpka uwe na D mbili huwa mnamaanisha kitu gani ?
Amejibu .Akikujibu naomba uni tagππ
Oyaa weeh πππππππUnakuta dem kazingua halafu anajibu choo tuπ! Hakuna moment ya "into deep shit" kama hio hapo kwa kidume rijali aliyepasuka sana kimaokoto.
Hapa ndio utaona umuhimu wa timu Bakari Nondo MWAMNYETO.
Kuna chimama mrembo zaidi yako hapa JF??? Thubutuuu ππSubiri mwanasheria wangu BICHWA KOMWE - aje kwanza πππ
Unanitia nyege tu bora nikublockOyaa weeh πππππππ
ππππππππ Bichwa bado sijapata wa kufanana na wewe kwa hiyo akili yakoUnanitia nyege tu bora nikublock
Duniani watu wengi huangaika naDah watu wanateseka sana na mapenzi ndio maana mimi nimeamua kutokuchukulia serious mambo ya mapenzi
Kwanini unanifanyia ivo lakini? aya tuuu πππππππππππ Bichwa bado sijapata wa kufanana na wewe kwa hiyo akili yako
Hahaha wewe umeshakutana nayo nini