Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Tatizo wanawake warembo wenye makalio makubwa wana mambo ya ajabu, sasa wakikutana na mwanaume asiye na akili ndo wanauwawa.

"Baby, uza ile nyumba ya mama yako nipe mtaji niachane na biashara ya baa ina vishawishi."

Mtu anauza, mama anapangiwa chumba kimoja halafu anafumaniwa na mwanaume bar, akiulizwa mbona hutoki huko baa na mtaji nimekupa anaanza majibu ya kipumbavu. Unategemea nini zaidi ya kichwa kutenganishwa na makalio?
Ujinga tuanze kuulipia kodi ili serikali iwe tajiri. Maana sio kwa ujinga huu ambao unafanyika.
 
Si mmekutana ukubwani mkuu..?? Shida ni nini..?
Mkuu kuna watu wamepata pesa kwa njia ngumu kweli halafu kwa kukosa akili akawekeza kwa mwanamke, kama hakuwa na akili ya namna ya kuwekeza hadi awekeze kwa mwanamke unadhani akili ya kupuuza na kuachana na huyo mwanamke itakuwepo?

Wanawake kabla ya kuhadaa mwanaume mchunguze kwanza mtauwawa muishe.
 
Kila mtu kama sio wote wamepata pesa kwa ugumu. Ugumu ni subjective matter. Kikubwa ni watu wote watumie akili sana kwenye kupenda na sio hisia. Wanawake mtawaua sana na mtaenda jela kwa sababu za kipumbavu.
 
Na wanawake kabla ya uchunaji na udangaji wachunguze kwanza wanadanga kwa nani? Wapo kama nyumbu mtoni, hayafikirii yanawaza kuchukua tu kisa yana makalio.
Wajinga acha wachunwe tu, kukosea ndo kujifunza. Ila kutumia nguvu kumfunza adabu mwanamke kutafanya ukawe mke wa nyapala bila sababu ya msingi huko jela.
 
Back
Top Bottom