Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Tatizo sisi Huwa tunajitoa sana kwa hawa viumbe halafu tunasahau kujipenda wenyewe !matokeo yake tuki be disappointed ndio maamuzi ni haya!
Hapa ndipo shida ilipo. Mimi nishajiwekea principles zangu kama demu anajiuza tukubaliane bei tukamalizane instantly na kama anataka tuingie kwenye mahusiano rasmi kila mmoja atajihudumia mwenyewe kwa hela zake.Tatizo ukiwaelekeza vijana wanaishia kukuzodoa tu kwa kukuambia "tafuta hela"
 
Ndiyo tatizo la kujua papuchi ukubwani, unaing'ang'ania utafikiri umeiumba wewe wakati umeikuta imeshachakatwa na watu kibao. Puliza kisha tambaa zako,unaweka kambi kabisa na kuwekeza kwa mtu usiye na nasaba naye. Ameua na kinachofuata anaenda kuozea jela.
📌📌📌📌👇👇👇

Screenshot_20240523_131328.jpg
 
Hata ufanyeje kuchapiwa utachapiwa tu labda ubahatishe mwanamke anayejitambua kama Mama E.

Kusema kweli uwezekano wa kuchapiwa hasa siku hizi ni 99.99%. Na ukichapiwa basi kausha tu maana hiyo ni siri ya ndani. Na utambue kwamba hata ufanye uwekezaji mkubwa kiasi gani kwa mwanamke, hiyo siyo guarantee kwamba hutapigwa chini; na hata kuchapiwa wakati wo wote. Wekeza kwa uangalifu huku ukijua kwamba unawekeza kwa kiumbe mtata na anayeongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia wa mambo...na mambo yakienda kombo basi chukulia kuwa ni sadaka tu umetoa na usonge mbele kama injili.

You can't buy trust and loyalty. Nevaaaa!

Screenshot_20240523_131902.jpg
 
Ila kusema ukweli wanawake wenye glocery hasa hizi frame wanabanduliwa sana.

Ukiwa na kawaida ya kupitia jioni unapiga zako bia 4 unatoa nyekundu na kuondoka, cha kwanza atataka kukujua.

Baada ya kukujua mtazoeana, baada ya hapo ataanza kukupa siri za biashara yake na changamoto. Yaani atajiongelesha kwamba akipata kiasi fulani hivi angefanya hivi ila tatizo msingi hautoshi na kausha damu anaogopa. Yaani ni kama anakopa indirect way.

Hapo baharia unacalculate risk za kumpa msingi kwa return ya mbususu kama inalipa.
Isipolipa unajikataa na wewe, ila ikilipa unamwambia siwezi kukukopesha mtoto mzuri kama wewe, nakupa msaada wa masharti nafuu kama ya Marekani.
Ukishasema hivyo mnakuwa mmeshaelewana .
 
Back
Top Bottom