Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
Ukiwaza gharama na muda uliotumia, mhhhhh I see inaumaaaaaa. Hata hivyo nitapata mwingine jipe moyo, jifariji maisha ndivyo yalivyo
 
Evidence ipo, wanaume wengi wanahudumia wanawake na ndio sababu inawafanya waumie zaidi wakiachwa au kusalitiwa

Mtu anakumbuka huduma, pesa alizowekeza kwa mwanamke maumivu yanawazidia

Inahitaji mtu mwenye moyo mgumu kuweza kukabili hizo hisia za uchungu
Wenye moyo mdogo ndio hawa wanaotoa uhai wa wenzao.
Kwaniniujenge kwenye hifadhi ya barabara?
 
Huyo dada kama ndio huyo kwenye picha zilizotumwa sioni hata kama kwenye u beauty kama yupo.
Hayo ma makeup tu hamna kitu hapo
 

Attachments

  • FB_IMG_1716371474884.jpg
    FB_IMG_1716371474884.jpg
    66.8 KB · Views: 3
Sometimes anaeua ndie victim ameshindwa kupambana na mshtuko wa akili. Mbona hata wanawake wanaowafanyia wanaume matukio ya ukatili ya namna hii wapo wengi sana sio issue ya wanaume tu siku hizi.

Let us not normalize domestic abuse kuwa ni issue ya wanaume tu. Maana naonaga matukio ya namna hii wakifanya wanawake comments zinakuwa za kistaarabu na utani mwingi na inakuwa kama ni habari ya Comedy but akifanyiwa mwanamke inakuwa kama habari ya kutisha sana.

Lets fight domestic abuse for all.
Nakumbuka yule dada aliyemchoma moto boyfriend wake kule Mbezi miaka michache iliyopita.
 
Ila kusema ukweli wanawake wenye glocery hasa hizi frame wanabanduliwa sana.

Ukiwa na kawaida ya kupitia jioni unapiga zako bia 4 unatoa nyekundu na kuondoka, cha kwanza atataka kukujua.

Baada ya kukujua mtazoeana, baada ya hapo ataanza kukupa siri za biashara yake na changamoto. Yaani atajiongelesha kwamba akipata kiasi fulani hivi angefanya hivi ila tatizo msingi hautoshi na kausha damu anaogopa. Yaani ni kama anakopa indirect way.

Hapo baharia unacalculate risk za kumpa msingi kwa return ya mbususu kama inalipa.
Isipolipa unajikataa na wewe, ila ikilipa unamwambia siwezi kukukopesha mtoto mzuri kama wewe, nakupa msaada wa masharti nafuu kama ya Marekani.
Ukishasema hivyo mnakuwa mmeshaelewana .
Sio grocery tu biaahara yoyote ya kuuza pombe bar, liquor store n.k wanawake wanabanduliwa sana. Juzi kati kuna mwana alitaka kupita na baamedi kafanya cost analysis akaona akaushe tu baada ya siku mbili tatu tukapewa taarifa nyeti kwamba yule baamed ana ukimwi
 
Back
Top Bottom