Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Huyo ukimchokoza kidogo,anaichomoa🙌

Mie nisingeendelea kubaki hapo😁😁
 
Miaka hiyo home geita kulikia na ka demu kanaitwa ka ney, nilikua nakapenda sana kalikua kazuri balaa, asee nikaanza kufukuzia nilifukizia balaa, kakajaa badae nilikujaga kufatwa na mshikaji wangu Mmoja, akanitonya mjamaa alie kuwa anamiliki Hummer ndo demu wake na ndo ana gharamia, akadai asinge kua Mzee wangu kua na jina pale geita tena Kwa hao matycoon yule jamaa angenipoteza hana mchezo kabisa
 
Kikubwa watu wana hela haijalishi ni za uzeeni au la!
 
Hivi huyo baraka kama namfahamu alikua na migodi balaa si ndio wa geita huyo, ana kaka yake mlevi cha pombe au mwingine
 
Hao wenye net worth wasikuchanganye achana na hizo fikra za kishamba, una mjua you tuber yule jamaa nani sijui juzi katajwa bilionea ye kadai hana hiyo hela in case of pesa halisi, hizo NAMBA tu mkuu
Unajua maana ya net worth? Kwahiyo unajaribu kutuaminisha kwamba hiyo zawadi iliyotolewa haikuwa sehemu ya net worth ya mtoa zawadi?
 
Hahahaha eti laki 2 na bendi inamtaja umejua kutudharau watu wa Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…