Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #281
Kaka wewe Yako Iko wapi? Fanya kazi kaka chuki waachie wachawi mtu anatumia pesa zake anajua kazipataje, we una umiaMkuu wewe unaishi Kijiji Gani
Au umezungukwa na watu Masikini sana .?
Inakuaje inakuwa shocked na mambo kama hayo ??
Nawewe toaKwahiyo wewe Tafsiri ya MTU mwenye pesa ni kutoa billion 1 ktk harusi ?.
Tena unge nyamaza kabisa nikiona mtu humu jf anajifanya don nasikitika, ulipitishwa mchango hapa kipindi jf imefungiwa juzi kati hapa pesa ilopatikana ni masikitiko ile ilikua pesa ya mtu Mmoja tu kutoa kwenye mfuko wa shati, we tajiri ULIKUA wapi? Au jf Haina msaada kwako?Kwahiyo wewe Tafsiri ya MTU mwenye pesa ni kutoa billion 1 ktk harusi ?.
Oyyy tangu waanze kuchimba izo dhahabu haziishi 😀Huwi peke Yako anakuwepo mpambe wa boss yani foremen, alafu DHAHABU ikionesha mkanda tu wanajua mali ipo karibu umakini kama wote, pia kule kwenye kuosha napo ndo mambo yote
We Haya....Huu Uzi hauchangiwi na wachaga,plus wahaya🙌
Nimesema tu.
Hela za ndagu ndio maana hawana hata maendeleo.Ni kama vile huko katoro mmeishi nyie peke yenu eti?? Acheni uongo, kweli katoto ilingane na dar kwa bata 😃😃😃kwahiyo laki 6 nayo ni pesa ya kutetemeshea bar!!! Hapo babati tu wanakula bata katoro mkalale
Mji mdogo sana mmejazana wanyantuzu na hela zenu za ndagu, kwendeni huko hebu liheshimuni jiji la wazaramo nyie,
Tena unge nyamaza kabisa nikiona mtu humu jf anajifanya don nasikitika, ulipitishwa mchango hapa kipindi jf imefungiwa juzi kati hapa pesa ilopatikana ni masikitiko ile ilikua pesa ya mtu Mmoja tu kutoa kwenye mfuko wa shati, we tajiri ULIKUA wapi? Au jf Haina msaada kwako?
Dada sio kila anaepata pesa anakimbilia kujenga kiwanda kila mtu na hoby yake, alafu matajiri wa huko huwekeza kwenye majiji makubwa, wale matajiri wa geita wamejenga mwanza tena madude haswa, kahama wamekimbilia mwanza kujenga madude tena haswa, hapo katoro Kuna dogo nimesoma nae miaka hiyo kitambo sana yule Mzee alikua keshaanza kwenda Dubai kufunga mzigo, sio dar, just imagine miaka hiyoHela za ndagu ndio maana hawana hata maendeleo.
Wengine matajiri ila wazazi wao wanalAla kwenye vibanda.
Kama Bil 6 wao ni kugusa tu kwa mtu mmojammoja mbona hawana hata kiwanda cha kutengeneza juice
Kaka MUNGU katubariki sana, ni VIONGOZI tu tunao wachagua ni mtihaniOyyy tangu waanze kuchimba izo dhahabu haziishi 😀
Nielezee kidogo kuhusu sahara kuna kitu nataka nijue.Sio urithi kijana kaanza kutafuta pesa miaka mingi sana kwa kuuza tu bolt na nuts miaka hiyo, watu wanakomaa mzee, kapambana na hiyo hardware hapo sahara, ndio sikuhizi anq hiyo ghrorfa yote yake, watu wamekuja kumjua alipoanza kununua hayo magari! Hafu ni jamaa mdogo mdogo tu!
Yaani mtu unapata B 6, unaimaliza kisa wanawake!Mimi natokea Kahama, kuna mzee anaitwa Ndegesera asset zake zina Zaidi ya Bilioni 400 TZS
Katoro, Kahama, Msasa kuna madogo yanamiliki LX 300 za kisasa.
Mtu kupata Bilioni 6 za dhahabu ni kugusa tu. Kinachowaharibia ni Wanawake.
Huyo dame alishawahi kuwa video vixen? Siku hizi anaishi dar?Miaka hiyo home geita kulikia na ka demu kanaitwa ka ney, nilikua nakapenda sana kalikua kazuri balaa, asee nikaanza kufukuzia nilifukizia balaa, kakajaa badae nilikujaga kufatwa na mshikaji wangu Mmoja, akanitonya mjamaa alie kuwa anamiliki Hummer ndo demu wake na ndo ana gharamia, akadai asinge kua Mzee wangu kua na jina pale geita tena Kwa hao matycoon yule jamaa angenipoteza hana mchezo kabisa
InawezekanaHivi huyo baraka kama namfahamu alikua na migodi balaa si ndio wa geita huyo, ana kaka yake mlevi cha pombe au mwingine
Wakazane kuwaita washamba, wao ujanja wao umewapa nini mxiew!Wasukuma wamewaziba midomo😷
Baraka naye msemea alikua na migodi nyarugusu, alishawahi miliki Hummer, enzi za magu, nasikia alikimbia nchi sababu alimzingiaga magu zamani, sasa akahofia kisasi, Sina hakikaInawezekana
Tafsiri pekee ya pesa ni MAENDELEO, mengine ni mbwembwe tu na ulimbukeni.Dar jiji la Wajanja Wajanja, Nenda Kahama, Katoro, Tunduma, Mafinga, Makambako, Njombe, Mbeya.
Watu wana migodi balaa kabisa.
Bei yanini imepungua?Hii mbona ipo kitambo! Migodi ikitema wadada wa mjini huenda huko ila sasa hivi bei imepungua sababu wadada wamekua wengi huko baada ya kusanuka soko limevamiwa
Ulishawahi kufika ukanda huo? Ila story za mitandaoni bana😅Hela za ndagu ndio maana hawana hata maendeleo.
Wengine matajiri ila wazazi wao wanalAla kwenye vibanda.
Kama Bil 6 wao ni kugusa tu kwa mtu mmojammoja mbona hawana hata kiwanda cha kutengeneza juice